ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
tume katazwa au bado unabisha? baba mwenyewe hajasafiri acha shobo
Hebu jiongeze kidogo upate mtu akueleze awamu ya kwanza ilikuwaje kijana mdogo!Hii inchi imekuwa ya AJABU AJABU haijawahi KUTOKEA,,tangu TUPATE UHURU,,,,kama wewe hupendi kwenda NG'AMBO usilazimishe na WENZIO,,,duniani kila mtu na HOBBY YAKE....na JINSI YA UTAFUTAJI wake,,, hivi kwl tuna kwenda NJE kutafuta maisha ,,tena kihalali kabisa,,,VIZA NA KILA KITU wewe unahoji UNAFATA nini NJE?kweli INCHI imeshakuwa YA KISHAMBA,...
Kwani uraia pacha unaruhusiwa bongo mkuu?Tusije tu fika mahala, tunakatazana kuchukua Uraia wa nchi nyingine.
Kwani uraia pacha unaruhusiwa bongo mkuu?
acha tu, watu hawataki kwenda nje wanataka na wenzao nao wasiende..............mambo ya ajabu sanaUkikaa ndani ya Nchi kama raia mwema wa Tanzania ukawa concerned kidogo na kitu fulani na ukahoji au kukosoa unaambiwa pengine wewe sio mtanzania.
Haya sasa kama mtu anataka kutoka na kuwaachia nchi yao, kuepuka huu usumbufu wote, anasumbuliwa kwa maswali anaondoka kwenda kufanya nini!
..THE FUDGE IS GOING ON!...
Aluuu.Nikamwambia Mpore nimesomesha watu namba nataka idadi iongezeke. Mpore akaniambia kwakua uriruhusu kuzariana basi wait for chiridren to be up.
Hesabu zinaniambia hadi wakua nitakua nimeondoka, nikamwambia Ninja mpango wangu wa kusomesha namba watu wengi akaniambia nizuiye hawa watz wanaojifanya wanakuja kusarimia.
Kazi ineanza
acha tu, watu hawataki kwenda nje wanataka na wenzao nao wasiende..............mambo ya ajabu sana
Sijui hta dreamliner kwenda nje ya nchi inabeba wtu gani