Watanzania Tutasafiri Nje Kweli?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Nasikiliza Radio five hapa kuhusu tamko la waziri leo roho imenilipuka!

Hata kama umepata kazi nje, shule n.k. lazima uoneshe vielelezo na vibali! Mzawa kutoka nje sasa ni issue.

Labda tuendelee kupata ufafanuzi siku zijazo
 
Hii inchi imekuwa ya AJABU AJABU haijawahi KUTOKEA,,tangu TUPATE UHURU,,,,kama wewe hupendi kwenda NG'AMBO usilazimishe na WENZIO,,,duniani kila mtu na HOBBY YAKE....na JINSI YA UTAFUTAJI wake,,, hivi kwl tuna kwenda NJE kutafuta maisha ,,tena kihalali kabisa,,,VIZA NA KILA KITU wewe unahoji UNAFATA nini NJE?kweli INCHI imeshakuwa YA KISHAMBA,...
 
Ukikaa ndani ya Nchi kama raia mwema wa Tanzania ukawa concerned kidogo na kitu fulani na ukahoji au kukosoa unaambiwa pengine wewe sio mtanzania.

Haya sasa kama mtu anataka kutoka na kuwaachia nchi yao, kuepuka huu usumbufu wote, anasumbuliwa kwa maswali anaondoka kwenda kufanya nini!

..THE FUDGE IS GOING ON!...
 
Nikamwambia Mpore nimesomesha watu namba nataka idadi iongezeke. Mpore akaniambia kwakua uriruhusu kuzariana basi wait for chiridren to be up.

Hesabu zinaniambia hadi wakikua nitakua nimeondoka, nikamwambia Ninja mpango wangu wa kusomesha namba watu wengi akaniambia nizuiye hawa watz wanaojifanya wanakuja kusarimia.

Kazi imeanza
 
Hii inchi imekuwa ya AJABU AJABU haijawahi KUTOKEA,,tangu TUPATE UHURU,,,,kama wewe hupendi kwenda NG'AMBO usilazimishe na WENZIO,,,duniani kila mtu na HOBBY YAKE....na JINSI YA UTAFUTAJI wake,,, hivi kwl tuna kwenda NJE kutafuta maisha ,,tena kihalali kabisa,,,VIZA NA KILA KITU wewe unahoji UNAFATA nini NJE?kweli INCHI imeshakuwa YA KISHAMBA,...
Hebu jiongeze kidogo upate mtu akueleze awamu ya kwanza ilikuwaje kijana mdogo!
Usituletee mihemko yako hapa, alaah!
That’s all
 
Passport yangu ya sasa ni ya Tatu kubadilisha zote zilijaa kwa mihuri ya viza za nchi tofauti, sifanyi biashara za mihafarati au ugaidi au ujambazi, nimefanya shughuli halali, kweli sijawahi ulizwa swala Gumu na serikali zaidi ya ile kunidai nionyeshe kadi ya yellow fever!
Sasa hii wapi twaelekea?
 
Ukikaa ndani ya Nchi kama raia mwema wa Tanzania ukawa concerned kidogo na kitu fulani na ukahoji au kukosoa unaambiwa pengine wewe sio mtanzania.

Haya sasa kama mtu anataka kutoka na kuwaachia nchi yao, kuepuka huu usumbufu wote, anasumbuliwa kwa maswali anaondoka kwenda kufanya nini!

..THE FUDGE IS GOING ON!...
acha tu, watu hawataki kwenda nje wanataka na wenzao nao wasiende..............mambo ya ajabu sana
 
Nikamwambia Mpore nimesomesha watu namba nataka idadi iongezeke. Mpore akaniambia kwakua uriruhusu kuzariana basi wait for chiridren to be up.

Hesabu zinaniambia hadi wakua nitakua nimeondoka, nikamwambia Ninja mpango wangu wa kusomesha namba watu wengi akaniambia nizuiye hawa watz wanaojifanya wanakuja kusarimia.

Kazi ineanza
Aluuu.

Tutaenda likizo Turks and Caicos na Jamaica tu kwa miaka hii iliyobaki kwa kweli.
 
"we ar on ze raiti traki, tutembee vifua mbere..." (kwa sauti ya mzee baba)
 
Sijui hta dreamliner kwenda nje ya nchi inabeba wtu gani

Sidhani ilichukuliwa kwa ajili yetu.
Wakati wa ku plan iletwe sidhani kama walitufikiria. We were not part of the Equation, ingawa ni hela za kodi.

Ni zile akili za ki farm kuwa vitu vizuri vya nyumbani havitumiwi na wa nyumbani lakini vinaachwa kwa ajili ya WAGENI Wa URAYA.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom