GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,118
Hahaha ni nani huyo mkuu
KWA VILE NI YA RUNINGANI YAACHE HUKO HUKO..
Inawezekana WEWE ndo ULIPELEKA HAO KUNGUNI...
ha ha ukome kwenda nyumbani kwa watu asubuhi
sawa kaka yanguNa kweli Dada yangu Kipenzi nimekoma!
Mwana F. AUchune Mkuu kwani nitamuharibia Kazi na Biashara zake hapa mjini halafu atataabika sana.
HahahaUchune Mkuu kwani nitamuharibia Kazi na Biashara zake hapa mjini halafu atataabika sana.