Watanzania tupo tayari kwa tozo iwapo zitatumika kwenye matibabu bure kwa watanzania wote

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa Watanzania wapo tayari kwa tozo endapo tozo hizo zikienda moja kwa moja kwenye matibabu bure kwa watanzania wote lakini si vinginevyo.

Kuna watanzania wanateseka na magonjwa mbalimbali na hawana uwezo wa kugharamikia matibabu hata kwenye magonjwa madogo madogo.

Serikali ikielekeza tozo kwenye matibabu bure kwa watanzania wote hutasikia wananchi wanalalamika na watakubaliana na tozo kwa moyo mmoja.
 
feza boys.jpeg
Mwanangu atasomaje Feza?
 
Ulishawahi kukutana na watu wanaotumia bima ya afya?
 
Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa Watanzania wapo tayari kwa tozo endapo tozo hizo zikienda moja kwa moja kwenye matibabu bure kwa watanzania wote lakini si vinginevyo.

Kuna watanzania wanateseka na magonjwa mbalimbali na hawana uwezo wa kugharamikia matibabu hata kwenye magonjwa madogo madogo.

Serikali ikielekeza tozo kwenye matibabu bure kwa watanzania wote hutasikia wananchi wanalalamika na watakubaliana na tozo kwa moyo mmoja.N
swadakta.
 
Back
Top Bottom