😀Avatar yako inaonyesha upo karibu kujinyea.
(Nimetohoa username yako)
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.
Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Wazo la kupiga BAN viroba lilikuwa wazo zuri sana, hawa ndo vijana ambao walikuwa maeneo hatarishi na haya makundi ya waeneza chuki ila kwa sasa vijana wanajitambua wengi!Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.
Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Chuki hailetwi na kikundi cha watu ili wananchi waichukie serikali bali serikali yenyewe ndiyo inayo wajaza chuki wananchi wake, kama unaakili timamu kabisa kichwan mwako na hauna chembe ya unafiki wala ukichaa utakuwa unalijua hilo, watanzania ni wavumilivu walio vuka mipaka ya uvumilivu nawapongeza kwa hilo,Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.
Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Kuna nini mpaka chuki ipandikizwe??Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.
Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Sorry hizo njia bora na salama ni zipi? Ukiweza hebu ziainishe tafadhaliKkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.
Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
[emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji111] [emoji779]Avatar yako inaonyesha upo karibu kujinyea.
(Nimetohoa username yako)
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.
Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Wa kwanza anayepandikiza chuki na kuwagawa watanzania ni kiongozi wa nchi. Kauli aliyotoa kuwa yeye hapangiwi wakati mteule wake ameonekana wazi katika tukio la kuvamiwa Clouds, wakati aliyekuwa waziri Nape ametolewa bastola hazarani, wakati watu wengine wamekimbia na kutelekeza familia zao kwasababu ya vyeti na wengine kufukuzwa chuoni, imeleta chuki kubwa. Katika hotuba zake zote anazotoa lazima kukashifu, kudharau na kudhalilisha kundi la watu fulani.Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.
Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Hii anayofanya huyu " " ni kazi maalum.Sorry hizo njia bora na salama ni zipi? Ukiweza hebu ziainishe tafadhali
ww acha kuwa Mtetezi wa vyeti feki uone acheni kuonea watu muone kama chuki itaendelea, Chuki ya sasa ipo automatic kwa wananchi wala haihitaji hamasa toka kwa kikundi au watu wowote wale.Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.
Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Noted..... Anafanya kazi ya dodoki PengineHii anayofanya huyu " " ni kazi maalum.
Anapambana ku neutralize hiyo anayoiita "chuki"