Watanzania tunamsifia Magufuli kwa kuvamia maofisini?

Hapohapo alipoanzia ameboresha vipi mahitaji y wafanyakazi ili wawe na ari?
Kwanza acha dharau, pili tuache tulivyo ndio tumechagua hivyohivyo, mimi siongei mengi zaidi ya KUMPONGEZA SANA MAGUFULI AKAZANE,KAMA WEWE IMEKUKERA MWAMBIE MJOMBO WAKO ATULIE OFISINI NA AFANYE KAZI TU
 
Mkuu H.T.P umewahi mno. Yajue vizuri mazingira ya nchi yako. Tulia kwanza na itunze hoja yako; subiri wakati muafaka wa kuiibua (ukibahatika). Wakati huu jipe muda wa kufuatilia na kukusanya data zaidi kuliko kusema. Hutaeleweka na utapata wakati mgumu sana kukitetea hicho unachotaka kusema. Take it easy, buddy.
 
mleta mada acha wivu basi....

mabadikiko tunayaona sie wenye macho...aendeleee hivyo hivyo....
 
Mbwembwe za magufuli hazina tija..matatizo yanajulikana..hukuna haja ya kusomba waandishi wa habari wakakupige picha ukishikana mikono na wagonjwa..
 
Kwahyo anachofanya muheahimiwa ni kibaya..au mzee una ndugu kati watumishi magiriba serikalini?
 
Ndo kwanza anaanza,Hawezi kufanya maombo yote kwa Pamoja kama unavyotaka wewe, Mishara ni mpaka Bajeti mkuu,Hebu fikiri kwanza kabla ya kutoa Uzi
 
mi nadhani raic anastahili kupongezwa lakini pia ni vzr kumkosoa pale unapoona anakosea na matatizo ya nchi hii yanajulikana so huu ni muda wa kuyafanyia kaz tu na tunapaswa pia kutowadekeza na kuwaamini sana wanasaiasa wetu tuwapime na kuwachuja hata kama tuna mahaba nao tukiwaacha bila kuwakosoa na kuwaona miungu watu watatufanya wanavyotaka
 
Jamani bandugu bapendwa. Nimekuwa nikifuatilia magazeti yetu ya ndani (Tanzania) kwa siku takribani 5 hivi kila siku ni Magufuli, Magufuli ukiingia ndani ya habari hamna kitu. Mnatuchosha bandugu waandishi!!!!!!!!!!!!!!. Andikeni na habari za viongozi wengine wa serikali au taasisi tofauti na mnavyofanya sasa hivi,mbona zipo nyingi tu na zinafanya makubwa kuliko hayo ya Magufuli mnayoandika
Ni maoni yangu tu
 
Acha uongo wewe!kwanza badilisha title ya hii thread kwasababu ni uongo magufuli ajavamia ofisi yeyote. Unafahamu maana ya kuvamia wewe?
 
Maigizo ya magufuli ni kujaribu kuwin akili za watanzania...
Maigizo ya Lowassa ya kunywa chai kwa Maman'tilie umeshasahau. Licha ya maigizo yake wapiga kura walimkata hadi amegeuka kuwa bubu.
 
Magufuli aongeze speed zaidi, tena afanye kitu kimoja, akae na team yake waandae goals za mwaka mzima, zitumwe kila wizara, idara,halimashauri, ambae atashindwa kutekeleza apigwe chini, kingine mawaziri wawe wanatuma weekly report kwa raisi ikielezea kipi amefanya na plan nzima ya week ijayo, hiyo iende sambamba na wakurugenzi,na makatibu wote pia watume weekly report kwa mawaziri. Cha tatu kuwepo na machine inayo record mahudhurio kwa wafanyakazi, muda wa kuingia kazini na kutoka, kwa siku lazima wafanye kazi masaa manane, kama machine kwa sasa uchumi unayumba, basi wawepo watu wanaomanage vitambulisho kwa wafanya kazi akiingia anakabidhi kitambulisho , na mtu yule ana record ameingia saa ngapi na kutoka hivyo hivyo, hili pia iwe ndani ya goals za magufuli. Hii nchi watu hawafanyi kazi na suala la muda hawajali then wanalia maendeleo. Pia overtime iwe free ,watu wajitolee kujenga nchi yao. Maoni yangu tu.
 
Back
Top Bottom