Watanzania tunaishi kwa matarajio!

Aug 10, 2011
81
9
Unajua ukiangalia hali ya mambo yanavyoenda katika nchi hii uaweza kufikiri kuwa unaota! watanzania wengi bado tunaishi kwa matumaini tukiamini kuwa ipo siku hali yetu ya kimaisha itabadilika hasa ukisikiliza sauti tamu za wanasiasa zilizojaa porojo na ahadi za maisha bora! unaweza kufikiri kuwa inawezekana labda mambo yatabadilika.. inatia uchungu na hasira kwa watu kama sisi kutegemea kudra za mwenyezi mungu kuwa ipo siku viongozi wetu watatujali na kujali masilahi yetu bila kutafakari kwa kina hali halisi inayoendelea katika maisha yetu ambapo kama huna mtu wa kukuweka mahali pamoja na shahada zako unaweza kukaa kijiweni na kuwa tapeli no future .Pia ni upuuzi kukaa na kuendelea kulalamika juu ya mstakabali wa maisha yetu wakati tunashuhudia ardhi ikiuzwa kwa wageni,maliasili zetu zikitafunwa na wageni huku tukiendelea kupata mrahaba wa 3% wa mikataba ya madini ambayo waekezaji wananufaika kwa asilimia 95%. cheap labor,corrupt goverment.tunaamini ipo siku watabadilika..DONT FOOL YOUR SELF THAT WILL NEVER HAPPEN! THINK BIG AND TAKE ACTION! CHANGES BEGIN WITH YOU!
 
Tatizo vijana wengi wa kibongo bado wanachagua kazi ya kufanya, mashamba yapo wakalime au wafuge ngombe wauze maziwa, joghurt, etc. Au upishi unafungua bakery maisha yanaenda. Wote wanataka kukaa ofisini hata kama malipo ni madogo.

We need to think big and change.
 
Liwezekanalo leo lisingoje kesho sasa hiyo siku itafika lini?
 
Back
Top Bottom