kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 523
- 916
Bora kuitwa wajinga na maskini. Kikubwa hatupendi na kuhalislisha ushoga kama hao wengine wanasifiwa Wana akili.Sisi watanzania sijui nani aliyetuloga. Watanzania tΔ±na mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama kondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo ivyo vichwa vigumu mpka mtu unapata hasira.
Sijui tuna matatizo gani. Wazazi wapeni lishe bora watoto zenu wakiwa wadogo wasije kuwa mzigo ukubwani.
Jambo linalofurahisha na wewe ni mmoja wa hao watanzania wenye tatizo hiloSisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama mikondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo ivyo vichwa vigumu mpka mtu unapata hasira.
Sijui tuna matatizo gani. Wazazi wapeni lishe bora watoto zenu wakiwa wadogo wasije kuwa mzigo ukubwani.
Poor/Lack of communication skillsSisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama mikondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo ivyo vichwa vigumu mpka mtu unapata hasira.
Sijui tuna matatizo gani. Wazazi wapeni lishe bora watoto zenu wakiwa wadogo wasije kuwa mzigo ukubwani.
Sisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama mikondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo ivyo vichwa vigumu mpka mtu unapata hasira.
Sijui tuna matatizo gani. Wazazi wapeni lishe bora watoto zenu wakiwa wadogo wasije kuwa mzigo ukubwani.
ππππππNimecheka kinomaaaa`Unamwabia mhudumu niletee serengeti lite. Anakuuliza nikikosa je? Unamwambia ulete castle light. Anauliza tena nikikosa je? Unamwambia ulete serengeti lager. Anaenda kule serengeti lager!!! Unauliza lite hakuna? Anasema zipo. k.u.m.a.m.a.eπ³π³π³π³