Sasa mkuu ulitaka wapite humo na magari ndo uamini?Wanalisha dunia nzima afu wamevaa ndala?
Sasa mkuu ulitaka wapite humo na magari ndo uamini?Wanalisha dunia nzima afu wamevaa ndala?
Ulichoona tuuDuh utoke kukausha hiyo kitu alaf bahati mbaya umejisahau umekuna mbupu ndiyo utakiona cha mtema kuni.
Hapana, kuna gum boots maalum mkuu.Sasa mkuu ulitaka wapite humo na magari ndo uamini?
Hiyo nyimbo si imefungiwaKweli tupo BONGO bahati mbaya
Ilibidi wavae suti za bei Kali huku wanavuna pilipili[emoji3]Wanalisha dunia nzima afu wamevaa ndala?
Mbona tumekuwa watu wa kufikiria juu juu sana,kwa hiyo Mpoto naye sanaa haijamasidia kwa kuwa anatembea peku pekuWanalisha dunia nzima afu wamevaa ndala?
Sasa Mkuu Wangevaa Mabuti si wangeziponda hizo Pilipili.Wanalisha dunia nzima afu wamevaa ndala?