Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Watanzania hata kilimo cha pilipili kimetushinda?
Sijui tunaweza nini, kilimo cha bangi hatumo, tumbaku hatumo, ugoro hakuna, miwa hakuna, mahindi hakuna, pamba hakuna, kahawa hakuna, chai bure kabisa.
Hata pilipili imetushinda?
Ona Bangladesh watu wachache wanalisha karibu Dunia nzima kwa chill sause.