Watanzania tulioko Switzerland

Jifunze kijerumani kwanza. Siwezi kupa guarantee sababu hawaamini sana ukanda wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu ngoja corona iishe niingie tuition, ila mm ata kazi za kulea wazee wasojiweza safi tuu sioni kinyaa kuwasafisha wala nini as long as hela inaingi😁 au kuzibua mitaro ya vyoo I don’t care so nikija sitakuangusha
 
unapatikana wapi, naishi geneva mbele ya balexert...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa mkuu ngoja corona iishe niingie tuition, ila mm ata kazi za kulea wazee wasojiweza safi tuu sioni kinyaa kuwasafisha wala nini as long as hela inaingi[emoji16] au kuzibua mitaro ya vyoo I don’t care so nikija sitakuangusha
Hakuna kazi bila shule mpaka fundi baiskeli ni shule miaka mi3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kujua hizo dirty job ni zipi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa ulaya unaweza kupiga kazi yoyote bila kuona aibu kwasababu hakuna ndugu au marafiki wanaokuona ndo maana napazimia. Bi mkubwa akikuuliza unafanya kazi gani huko unamwambia ni mfamasia mkuu wa BERN case closed.
Duuh
 
Natamani kujua hizo dirty job ni zipi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhudumia wazee wasiojiweza kama kuwaosha, kuwabadilisha nepi pia kuwalisha. Sasa usifikiri hao wazee ni wa pole. Wanaku amrisha utadhani wewe ni mjukuu wao. Hiki kimejinyea huku ,mwingine anataka akaote jua nje, mwingine anataka dawa zake halafu hawakuheshimu hata chembe. Wengine wanajinyea makusudi.
 
Kuhudumia wazee kunataka shule dirty job ni zile huna cheti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oyaa Wazee wa Switzerland My regard to Mwanangu wa Damu Zolile Fuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…