isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Yes naona due Updates imenilazimu ni quote tena. Hakika Mkuu na style yake ya ujenzi naona imefanana na mfumo wa Mikoa miwili maarufu kwa Kahawa na Ndizi hakuna tall buildings za kutisha. πHuwa napenda kujivinjari mto Rhine Sambamba na makubusho kedekede hapa mjini,ikizingatiwa mji huu Ni mji wa kitamaduni,mji huu ndio kitovu cha waafrika hapa ,Pia ni mji wenye wakatoliki wengi,ujerumani asilimia kubwa ni walutherani
Kuna kanisa kubwa la katoliki ambalo inasemekana mamajusi wa mashariki(kwa wakatoliki wanajua) inasemekana wamehifadhiwa
Cc
instanbul
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa...jana si umenialika Toronto wewe mtoto?
Daah hiyo miguu yako tu ndo naipendaga. Yaani najarib kuimagine kuanzia mapajani hadi kichwani sijui utakuwaje. Nmeipenda sana miguu yakoCovid ikiisha nakuja kuna mtu alinambia uswiss kutamu.π
Nzuri mkuu.... One day na mimi nitafika hukoπ
Unajifukiza lakini?Daah hiyo miguu yako tu ndo naipendaga. Yaani najarib kuimagine kuanzia mapajani hadi kichwani sijui utakuwaje. Nmeipenda sana miguu yako
Napiga Nyungu mara mbili kwa siku(kama dozi ya Alu) navaa barakoa mda wote pia natembea na Sanitaiza na kila nikiona maji tiririka mi naosha mikono yangu.Unajifukiza lakini?
ItgenMkuu upo maeneo gani hapa BERN nikuibukie? Ostring,Muri, worb, koniz?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa mkuuYes naona due Updates imenilazimu ni quote tena. Hakika Mkuu na style yake ya ujenzi naona imefanana na mfumo wa Mikoa miwili maarufu kwa Kahawa na Ndizi hakuna tall buildings za kutisha. [emoji6]
Itgen
s10+
Karibu leo sijaingia mzigoni nafanya 80%Nitakucheki mkuu nikitoka kazini mitaa hiyo naifahamu kila kona. Kwa sasa nipo Bolligen kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
π π usijali mkuu, mimi nitawajibu kwa kile wanachouliza bila kujalisha wanamaanisha au la
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mtoto wa kireno vipi? tayari ameshaliwa?
Wee mtoto unaongea nn mbele za wakubwa? Aisee ntakuchapa viboko.usirudie tena.Napiga Nyungu mara mbili kwa siku(kama dozi ya Alu) navaa barakoa mda wote pia natembea na Sanitaiza na kila nikiona maji tiririka mi naosha mikono yangu.
Tuongelee kuhusu iyo miguu yako tafadhali
Duuh ! Na je kama degree nilipatia hapa bongo na masters chuo cha nje bado itakua ngumu kupata kazi ?
Nisaidie link mkuu wa huo uziKuna lijamaa limemuanika leo kwenye uzi fulani daah mpaka basi