Watanzania tulioko Kampala Uganda tunakutana wapi Jumamosi tarehe 20 April, 2024 kuitizama Derby ambayo nimehakikishiwa kuna Watu hawatoamini kabisa?

Utopolo hakuna wachezaji muhimu Sema kuna wabeba majini muhumu,

Hakuna tajiri Mjinga wa kutoa pesa kumuhonga mchezaji kama Aziz Ki, ni Mchezaji Wa Kawaida anakabika na anazuilika, Simba na Wachezaji wake wameshacheza na wachezaji wenye profile kubwa mara 5 zaidi ya wachezaji wa utopolo,

Utopolo Mnajipa ukubwa na Uwezo ambao hamna, Simba Sc ilishapita huko kwenye kununu mechi miaka mingi iliyopita,

Nachowashauli boresheni mbinu zenu za kununua Marefa na Ma line men

Tutawashangaza, jiandaeni kisaikorojia kusijekukawa na vifo vingi vya mashabiki wa utopolo
Kisaikorojia,nawasgauli.....makubwa haya
 
Back
Top Bottom