Mkuu unaweza ukanijuza inawezekana kweli sijui nielimishe mkuuWewe ndo hujui lolote..
Wewe una uhakika kama alishazaliwa? Au sadaka zimeshakulevya?Kwa hiyo quality ya kanisa(nyumba ya Mungu ambayo ni ya kiroho) , hupimwa kwa makaratasi ya usajili ??
Yesu akirudi leo, watu kama nyie atawatandika viboko tu.
The end justifies the means. Kama maisha yanazidi kuwa magumu yote yanayofanywa na mtawala ni mabaya. usipake rangi upepo.
Kilaza part twoyakiwa magumu kwako, halafu wenzako wakayafurahia huone wewe utakuwa na matatizo , kwa sasa nikwaambia heshima ya mwananchi imerudi mwananchi akitaka huduma mahali anapewa bila kutoa kitu kidogo kama ilivyokuwa , na wapewaji kitukidogo ndo wanalalamika kama wew na kusema maisha magumu mtaani kwa kukuwa ulikuwa na mirija
Heineken zimeshuka bei Watanzania mnataka nini tena!? Au mtasema hatujazilipia ushuru mpige marufuku bia za nje?[emoji16][emoji23]Hivyo vyote sawa lakini maisha bado ni magumu bidhaa zinapanda bei kila siku kwa hiyo bado sijaona faida ya hizo mambo naona kabisa mpaka mwaka utaisha hali itazidi kuwa ngumu zaidi ya hapa alafu mbaya zaidi bidhaa zinazo panda bei ni zile ambazo zinamgusa zaidi mwananchi wa chini.
Hizo Sababu Hazina Mashiko, Hata Binge La Wingereza Ambalo Ndilo Tumerithi Mifumo Yake Yote Halionyeshwi Live Isipokuwa Kwny Maswali Na Majibu Tu.Bunge live likirudi itapendeza zaidi ili tuweze kuona bajeti na juhudi hizo za mh. Raisi bungeni
Pumba tupuHizo Sababu Hazina Mashiko, Hata Binge La Wingereza Ambalo Ndilo Tumerithi Mifumo Yake Yote Halionyeshwi Live Isipokuwa Kwny Maswali Na Majibu Tu.
Mimi Nafurahi Lisiwe Live Maana Wanasiasa Wanalitumia Vibaya Kuwajaza Watz Ujinga Coz Tunawaamini.
Kwa Hapa JPM Alipofikia Kama Humuamini Basi We Ni Jipu.
Kapita Mwinyi, Mkapa, Jk, Wote Hao Wamekalia Kiti Miaka10 Lakn Hawakuondoa Wafanyakazi Hewa. Leo JPM Anafanya Hivyo, Nje Ya Hapo Madawati Anafanya Mchakato Shule Zote, Sasa What Is Bunge Live?.
Gadaf Kipindi Chote Kaongoza Libya Bila Bunge Na Alifanikiwa Sana, So Bunge Live Ndio Shibe Yetu Sisi?.
Tusiangalie Mambo Yasiyo Msingi, Tuangalie Na Kujadili Mambo Ya Msingi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Kweli Mtu Na Upeo Wake Anaenda Kumjadili Mtoto Wa Mtu Kisa Kutafuta Kick Maana Wapinzani Hawana Hoja Now.Ulitaka kusemaje labda kwa mfano? Kuna swali bado halina majibu Jesca alifikaje chuo kikuu!? Ukitaka maendeleo wewe kuwa nayo tu hujakazwa sisi wengine nchi tunataka kuijenga kuanzia ikulu.
Unaloliona wewe ni la Jesca Tu kati ya nondo zote za Engineer hapo juu?!?!?Ulitaka kusemaje labda kwa mfano? Kuna swali bado halina majibu Jesca alifikaje chuo kikuu!? Ukitaka maendeleo wewe kuwa nayo tu hujakazwa sisi wengine nchi tunataka kuijenga kuanzia ikulu.
Hebu tukumbushe data mkuu. Hawa wafanyakazi waliproduce vitambulisho vingapi vile?!?!?!Usisahau pia ni serekali ambayo imewafukuza kazi vijana 597 wa NIDA bila kuwapa stahiki zao tena wakiwazungusha na kuwaacha solemba wakilia hadharani
Tangu Umezaliwa Ulishawahi Kumsikia Mtu Anasema Maisha Rahisi?!.The end justifies the means. Kama maisha yanazidi kuwa magumu yote yanayofanywa na mtawala ni mabaya. usipake rangi upepo.
Huwezi kunipangia cha kujadili hayawani wewe, tunataka kukomesha fraud kwanza.[emoji3] [emoji3] [emoji3] Kweli Mtu Na Upeo Wake Anaenda Kumjadili Mtoto Wa Mtu Kisa Kutafuta Kick Maana Wapinzani Hawana Hoja Now.
Fikiri Na Jadili Mambo Ya Msingi Mkuu Hayo Ya Jesca Hayatokusaidia Hata Kidogo, Jadili Hoja Za Kuwasaidia Watz
Ndio nililiona haya nipe majibu......Unaloliona wewe ni la Jesca Tu kati ya nondo zote za Engineer hapo juu?!?!?