Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

We mweupe upstairs kweli kweli.. Nenda katafute watumishi halisia 300 tu Kati ya hao unaosema 597, ukiwapata basi nitakuingiza kwenye rekodi ya Maajabu ya Dunia.. We Mwenzetu ukisikia neno wafanyakazi Hewa unafikiria ni kitu kama nini... ??? Naamini hata hujui wanamaanisha nini wasemapo HEWA.. IKISIKIA HEWA ELEWA HEWA KWELIKWELI
Mkuu we ndio povu embu fatilia vizuri hao vijana unao waita hewa wanaanza kulipwa j5
Acha mahaba ya vyama na usifikiri humu kila mtu yupo kutetea vyama
 
Huyu hajaanza leo au jana kukurupuka,tangu akiwa waziri ametoa maamuzi mengi ya kukurupuka yaliyolileta hasara ya mabilioni,so timua timuo hovyo na sukari,UDOM ni muendelezo wa hulka na tabia yake mbaya zaidi anajiona ana akili kuliko wote na hapendi kukosolewa ila kusifiwa.Someni bajeti ya upinzani alafu muone jinsi serikali inavyojenga nchi,cheap politics kama hizi za mtoa mada mkawaambie wajinga hao ndio watawaelewa
 
Mkuu we ndio povu embu fatilia vizuri hao vijana unao waita hewa wanaanza kulipwa j5
Acha mahaba ya vyama na usifikiri humu kila mtu yupo kutetea vyama
Unajua Idadi ya hao wanaoanza kulipwa hiyo unayoiita J5.. Wako wangapi?!?!!!??!!!???¡!
 
Back
Top Bottom