Manasse
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 352
- 241
Achana na mfa maji huyo.Makanisa ya ajabu ndio yapi.
Na yasiyo ya ajabu ndio yapi.
Acha fikra finyu......
Achana na mfa maji huyo.Makanisa ya ajabu ndio yapi.
Na yasiyo ya ajabu ndio yapi.
Acha fikra finyu......
Kwahiyo Ulitaka Asiongelee Hao Wafanyakaz Hewa Na Ishu Ya Bandari?!,Eti "amegundua madudu bandari na issue ya wafanyakazi hewa"
Naddhani wewe umelogwa na aliyekuloga amehamia Syria.
Kwani wafanyakazi hewa na ubadhirifu wa bandari umesemwa mara ngapi bungeni na wapinzani in the last 10 yrs?
Sema ameamua kujitahidi ku act unlike msoga boy aliyeamua kufumbua macho pamoja na wanunge wote wa CCM na mawaziri wao na wakuu wa mikoa wao.
CCM ni ileile mjomba.....
Unaongea Kitu Ambacho Hukijui, Pole Sana Mkuu.Makanisa ya ajabu ni yale yaliyosajiliwa kama NGO na siyo kama kanisa likiwemo hilo la Mzee wa upako na ndio maana makanisa hayo hayapewi free airtime au vipindi vya bure kwenye tv ya Taifa siku za jumapili.
Serikali tu yenyewe imeshindwa kuyatambuwa kwa hiyo mdau yuko sahihi kuyaita ya ajabuajabu it means from no where.
Najua JPM Kabana Maslahi Yako So Unakufa Maji Mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Tulozoea Maisha Ya Ukweli Wala Hatuna Shida.Huna maana yoyote wewe! Maisha yanazidi kuwa magumu huku upuuzi mwingi kama huo wa UDOM, BUNGE, nk, ukizidi kila leo halafu unatuletea ujinga hapa! Rais wenu mwenyewe kakalia kulalamika lalamika tu. Asubuhi utamskia akisema "nipeni ushirikiano" jioni utamskia akisema "niombeeni kwa mungu". Toka alipotudanganya kwenye machine za MRI na CT SCAN pale Muhimbili tulijua ataendelea na atamaliza na ulaghai.
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Nawewe Usimsemee Mwenzako Maneno Ya Kuudhi.yakiwa magumu kwako, halafu wenzako wakayafurahia huone wewe utakuwa na matatizo , kwa sasa nikwaambia heshima ya mwananchi imerudi mwananchi akitaka huduma mahali anapewa bila kutoa kitu kidogo kama ilivyokuwa , na wapewaji kitukidogo ndo wanalalamika kama wew na kusema maisha magumu mtaani kwa kukuwa ulikuwa na mirija
Nenda kamtoeUlitaka kusemaje labda kwa mfano? Kuna swali bado halina majibu Jesca alifikaje chuo kikuu!? Ukitaka maendeleo wewe kuwa nayo tu hujakazwa sisi wengine nchi tunataka kuijenga kuanzia ikulu.
Wewe ni zuzu.....Unaongea Kitu Ambacho Hukijui, Pole Sana Mkuu.
Makanisa Yote, Misikiti Yote Pamoja Na NGN's Nyingine Zinasajiliwa Kwa Sheria Moja Na Vinatambulika Kama Taasisi Za Kutoa Huduma Ndio Maana Hawalipi Kodi.
Kuhusu Airtime Kwa Tv, Wanalipa Tena Pesa Nyingi Sana. Saa1 Si Chini Ya Mill2 Kurusha Kipindi.
Mkuu Huelewi Pole Sana.
Hivi kabla ya kuwa kaka mkuu katika shule hii alikuwa anatembelea vikundi vya dini vingine kama anavyofanya leo maana tunajua yeye ni tycs lakini siku ukwata, kasifeta, n.k anaenda?kama Rais keshaingiwa na hofu ya kutawala? anaishia kwnda makanisa ya ajabu ajabu? hiyo nchi mtaijengaje?
Kuna aina ya miwani watanzania wenzetu wameiprocure yenye uwezo Wa kuona mabaya kwenye Catastrophic levelTangu Umezaliwa Ulishawahi Kumsikia Mtu Anasema Maisha Rahisi?!.
Umeme Kuondolewa Service Charge Tsh5520 bila kodi na unit1 kupungua kutoka kwa Tsh6 yani Tsh298 hadi Tsh292 bila kodi ndio kuongeza ugumu wa maisha?
Captation kuongezeka toka Tsh4000 hadi Tsh10000 ndio ugumu wa maisha kuongezeka?
Kufagia wafanyakazi hewa ndio ugumu wa maisha kuongezeka?
Njo Na Hoja Nini Kimefanya Maisha Yazidi Kuwa Magumu Kipindi Cha JPM?.
NASUBIRI HOJA YAKO MKUU.
Sasa mbona mnampinga nyie wahuniEti "amegundua madudu bandari na issue ya wafanyakazi hewa"
Naddhani wewe umelogwa na aliyekuloga amehamia Syria.
Kwani wafanyakazi hewa na ubadhirifu wa bandari umesemwa mara ngapi bungeni na wapinzani in the last 10 yrs?
Sema ameamua kujitahidi ku act unlike msoga boy aliyeamua kufumbua macho pamoja na wanunge wote wa CCM na mawaziri wao na wakuu wa mikoa wao.
CCM ni ileile mjomba.....
Utakula bunge live??Bunge live likirudi itapendeza zaidi ili tuweze kuona bajeti na juhudi hizo za mh. Raisi bungeni
Wanao mmis Jk ni mafisadi na malofaMaisha magumu watu wanafunga biashara, wateja hawana kitu, idea ya kuwakamua masikini na kuacha vyanzo vikubwa vya kuingiza pesa za uhakika hazina haziguswi! We unadhani wananchi ni wajinga kuanza kummiss Jk ndani ya miezi sita tu hii, hebu toa ujinga wako hapa
We mweupe upstairs kweli kweli.. Nenda katafute watumishi halisia 300 tu Kati ya hao unaosema 597, ukiwapata basi nitakuingiza kwenye rekodi ya Maajabu ya Dunia.. We Mwenzetu ukisikia neno wafanyakazi Hewa unafikiria ni kitu kama nini... ??? Naamini hata hujui wanamaanisha nini wasemapo HEWA.. IKISIKIA HEWA ELEWA HEWA KWELIKWELIMkuu unaweza ukanijuza inawezekana kweli sijui nielimishe mkuu
Hao vijana 597 wa NIDA wamefukuzwa tena kwa tahadhira na tunawaona kwenye mitandao wakilalamika
Hivi unajua serekari inamaadui wangapi?
Hao vijana 597 wana baba, mama, dada , kaka na wengine wanalalamika wana familia
Umesema mie ndie sijui naomba unielimishe nipo tayari mkuu
SasaEti "amegundua madudu bandari na issue ya wafanyakazi hewa"
Naddhani wewe umelogwa na aliyekuloga amehamia Syria.
Kwani wafanyakazi hewa na ubadhirifu wa bandari umesemwa mara ngapi bungeni na wapinzani in the last 10 yrs?
Sema ameamua kujitahidi ku act unlike msoga boy aliyeamua kufumbua macho pamoja na wanunge wote wa CCM na mawaziri wao na wakuu wa mikoa wao.
CCM ni ileile mjomba.....
Umeanza vizuri ila katikati ukaharibu na umemaliza vizuri. Maoni yako tumeyasikiaIfike wakati Watanzania Tukatae vichwa vya Kurogwa. Tuikumbuke nchi hii na tuijenge Kwa Upya.
Naomba nisiwachoshe Kwa Takwimu Na mlolongo wa mambo ambayo mnayajua..itoshe kusema tu kwamba Bidii ya Rais wetu kugundua Na kuwachomoa mafunyfunyu ya makontena Na mabilioni ya fedhazetu zilizokuwa zinaingia kwenye mafuko ya wachache badii hii watanzania wenzetu wanaiponda wanasema raisi wetu anakurupuka
Hakurupuki hapo tu kabaini wafanyakazi hewa zaid ya elfu Kumi nchini ambao mabilioni ya fedha Zetu zilitokomea hewani wenzetu hawa wanasema anakurupuka banaaa..
Mafuta yaliingia nchini freely, wafanya biashara walilipa kodi kama walivyotaka, anapakua Lita laki moja anasema kapakua Lita elfu mbili Na nchi inakwenda, kadhibiti mwanya huo ..watanzania wenzetu wanasema anakurupuka bana..
Anatumbua wafanyakazi wasio wajibika kwenye kisma za Madaraka yao ..watanzania wenzetu wanapwayuka ati anapenda sifaa..
Rais anasema wanafunzi zaidi ya elfu Saba waondolewe Chuo kikuu, Kwa sababu heshima ya Chuo kikuu ibakie kutoa shahada Na vyuo vyenye hadhi ya kutoa diploma wanayoihitaji wanafunzi hao Na walimu wabobezi Wa fani zao wapo huko vyuoni sasa Na nafasi huko vyuoni Zipo sasa Kwa nini wanafunzi hao wang'anga'anizwe kusome Chuo kikuu Na walimu walipwe extra Pesa ili wasake materia Na kuwafundisha wanafunzi hao??, Rais Kusema wanafunzi waondolewe Na udahili ufanywe Kwa wenyesifa ya diploma Na wapelekwe kwenye vyuo husika, watu wanapinga.. Wanabishia.. Wanachobishia Na kupinga hakijulikani..
Niwambieni watanzania wenzangu huko ndio kulogwa kwenyewe. MTU ukishalogwa huwezi kuona mazuri hata iweje. Watu wengine wananachefua zaidi .. Wanasema ati Rais hajui siasa.. Anajifunzia siasa ikulu.. Aaah sasa wewe yaani Ile Kuwa Na wafanyakazi hewa kwako ndio siasa, wizi, ufisadi, ubadhirifu huo kwako ndio siasa.. Basi kama Tafsiri ya siasa ndio hiyo ..siasa ni kitu mbaya sana basi..
Watanzania wenzangu mnaojitambua ni SAA ya kuwaondolea uvivu wajinga wachache wasiopenda nchi yetu isonge Mbele Kwa maslahi ya matumbo yao. CCM imetufikisha pabaya, CCM imechanganya madaraka ya SERIKALI Na Yale ya Kichama, MABWENYENYE ndani ya Chama wamejipa uungu watu Na kushika hatamu za serikali.. Rais anachofanya sasa ni kutofautisha wazi kuwatumikia wananchi Na mambo ya Kichama. Tunajisahau sana.. Huyu ni Rais Wa Tanzania ingawa ni mwanachama Wa CCM. Naamini watu wabaya sana wengi wamo CCM ila pia kuna masazo ya watu wengi Wazuri CCM humo humo. Mfano nzuri ni Rais huyu. Kuna watu ndani ya Chama ambao mbali Na Uonzo uliomo chamani wao wamejitenga nao ila kuna wengine wanaamini Chama chote Kimeoza. Upinzani kumuunga mkono Raisi Kwa Mazuri afanyayo sio Dhambi..sio kosa.. Kuwa mpinzani sio Kuwa shetani Wa kupinga kila kitu..
Wananchi wanafurahia uwajibikaji Wa watumishi Wa serikali Kwa sasa, upatikanaji Wa HUDUMA za kijamii ambazo hapo awali ilikuwa ndoto, elimu za watoto wetu, heshima ya mtanzania inayoanza kurejea.. Kisha MTU aliyelogwa Wa Chama chochote anabeza Bidii hizi.. TUTAKUKANYAGA TUU..Watanzania Hatuhitaji CCM, wala CHADEMA, Wala CUF wala Chama chochote .. Tunahitaji nafuu ya maisha Na maendeleo kutoka Kwa MTU yeyote Wa Chama chochote mwenye nia njema Na Sisi ..
Kwa sasa Nchi kwanza Vyama baadae sana huko ikikaribia Uchaguzi..sio Leo