T Tui JF-Expert Member Jun 2, 2018 3,425 4,687 Apr 21, 2022 #21 Talk sense to a fool and he will call you foolish Assumption yangu kwako haikuwa na makosa .You are just a fool .
Talk sense to a fool and he will call you foolish Assumption yangu kwako haikuwa na makosa .You are just a fool .
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Nov 16, 2014 11,657 8,592 Apr 21, 2022 #22 Mtake msitake, mtamkumbuka tu Mwamba Magufuli!
K Karaoke JF-Expert Member Nov 22, 2019 478 1,006 Apr 21, 2022 #24 Hakuna rais duniani anaefanya vizuri kwa raia wake wote, lazima atasemwa tu
T Tui JF-Expert Member Jun 2, 2018 3,425 4,687 Apr 21, 2022 #25 Karaoke said: Hakuna rais duniani anaefanya vizuri kwa raia wake wote, lazima atasemwa tu Click to expand... Hatukatai akisemwa lakini njoo na hoja mbadala sio kukosoa tu.Jaribuni kuleta solution kwa maendeleo ya Nchi.Nchi hii ni ya wote. Msiwe problem identifier bali kuweni problem solver.
Karaoke said: Hakuna rais duniani anaefanya vizuri kwa raia wake wote, lazima atasemwa tu Click to expand... Hatukatai akisemwa lakini njoo na hoja mbadala sio kukosoa tu.Jaribuni kuleta solution kwa maendeleo ya Nchi.Nchi hii ni ya wote. Msiwe problem identifier bali kuweni problem solver.