Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,117
Labda kwenye makaratasi, huku kwetu wananchi Hali ni mbaya sanasalaam...
kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Hii taarifa imetolewa na world bank (WB), uchumi wetu wa Tanzania unakua kwa kasi ya 7.2% kwa mwaka huu 2017. naomba tujipigie makofi...
View attachment 526300
Ushauri: tusiendekeze sana siasa, tuchapeni kazi jamani. ugumu wa maisha hatoumaliza Magu wala Loawasa. ni sisi wenyewe raia tukichapa kazi kwa bidii tutau tokomeza umasikini. kila mtanzania kwa nafasi yake aliyopo ajenge nchi. siasa tufanye ikifika 2020. sasa hivi tuwaache waliochagulia wafanye kazi zao, huu sio muda wa kuwa evaluate. they need time to accomplish what they have promised.
ugumu wa maisha (umasikini) hauwezi kumalizika over-night. hatuwezi leo kulala maskini kesho tukaamka sote matajiri. tupande ngazi kwa ngazi. tusikate tamaa, inshaaAllah tutafika tu.Sawa mkuu tunachapa kazi lakini huo ukuaji wa uchumi mwananchi wa hali ya chini haelewi kabisa, Hali ni ngumu analalamika pamoja na kujituma
Kwenu ni wapi?Labda kwenye makaratasi, huku kwetu wananchi Hali ni mbaya sana
Kwenu ni wapi?Unawezaje sema uchumi unakua kwa kazi wakati HUKU KWETUUUU hata kula imekuwa tabu!!!!
Nani anayejituma akakosa na kuanza kulalamika hali mbaya?Sawa mkuu tunachapa kazi lakini huo ukuaji wa uchumi mwananchi wa hali ya chini haelewi kabisa, Hali ni ngumu analalamika pamoja na kujituma
hali ni mbaya, je mnafanya kazi? ama unataka serikali ianze kugawa chakula ndio tujue hali imekua nzuri?Labda kwenye makaratasi, huku kwetu wananchi Hali ni mbaya sana
LumumbaKwenu ni wapi?
Kwa kipindi cha JK hali ilikuwa nzuri?Hizi report zinawasaidiaje waTz?
Watumishi Mwaka wa pili huu ameshindwa kuwaongezea Asilimia ata 15% tu ya mishahara! Ajifunze kwa JK ktk kipindi chake aliongeza mishahara zaidi ya 300%
Temeke mwishoKwenu ni wapi?
nitajie nchi moja ambayo imeendelea kwa kuwaongezea mishahara wafanyakazi tu?.. tunahitaji tuwekeze kwenye miundo mbinu kwanza. kama kipato hakijitoshelezi, ongeza vyanzo vingine vya mapato.Hizi report zinawasaidiaje waTz?
Watumishi Mwaka wa pili huu ameshindwa kuwaongezea Asilimia ata 15% tu ya mishahara! Ajifunze kwa JK ktk kipindi chake aliongeza mishahara zaidi ya 300%
Ok ok mkuuugumu wa maisha (umasikini) hauwezi kumalizika over-night. hatuwezi leo kulala maskini kesho tukaamka sote matajiri. tupande ngazi kwa ngazi. tusikate tamaa, inshaaAllah tutafika tu.
Unataka serikali wakuletee chakula kwenu?Unawezaje sema uchumi unakua kwa kazi wakati HUKU KWETUUUU hata kula imekuwa tabu!!!!