Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,795
- 28,451
ajitume kwenye kufanya nini,hizo kazi zikuwapi ali watu wafanye kwa kujituma?? Job creation ni kazi ya serikaliNani anayejituma akakosa na kuanza kulalamika hali mbaya?
ajitume kwenye kufanya nini,hizo kazi zikuwapi ali watu wafanye kwa kujituma?? Job creation ni kazi ya serikaliNani anayejituma akakosa na kuanza kulalamika hali mbaya?
Wakati mwingine wanachukulia investment za nje ambazo zina longterm benefits. Kwahiyo si lazima u-feel immediately ila tuendako ndo matatizo yanakwenda kupungua. Hata hivyo nafuu yako kama mtu binafsi utaipata kwa kufanya kazi.Huo uchumi kukua haunisaidii chochote. Hali yangu mbaya
Kwani mimi naishi Mbinguni?Mkuu we hujui, njoo mtaani ushuhudie
Ni kweli lazima tuwekeze kweye miundombinu,lakini Chato Internationa Airport inafaidisha watanzania Wangapi?nitajie nchi moja ambayo imeendelea kwa kuwaongezea mishahara wafanyakazi tu?.. tunahitaji tuwekeze kwenye miundo mbinu kwanza. kama kipato hakijitoshelezi, ongeza vyanzo vingine vya mapato.
Twendeni kwenye kilimo....kodi za ajabu ajabu zimefutwa.ajitume kwenye kufanya nini,hizo kazi zikuwapi ali watu wafanye kwa kujituma?? Job creation ni kazi ya serikali
Unawezaje sema uchumi unakua kwa kasi wakati HUKU KWETUUUU hata kula imekuwa tabu!!!!
Unawezaje sema uchumi unakua kwa kasi wakati HUKU KWETUUUU hata kula imekuwa tabu!!!!
Unawezaje sema uchumi unakua kwa kasi wakati HUKU KWETUUUU hata kula imekuwa tabu!!!!
hizi taarifa ni za world bank mkawaulize wao.Hizi report zinawasaidiaje waTz?
Watumishi Mwaka wa pili huu ameshindwa kuwaongezea Asilimia ata 15% tu ya mishahara! Ajifunze kwa JK ktk kipindi chake aliongeza mishahara zaidi ya 300%
World bank wanapotoa takwimu mbaya dhidi ya Tanzania tunaitukana sana serikali....Takwimu zikija vizuri tunagoma kupongeza!Kama njaa na ukata ndio kigezo wa ukuaji uchumi it's very funny.
Kama njaa na ukata ndio kigezo wa ukuaji uchumi it's very funny.
Alafu maana ya uchumi kukua lazima uakisi kipato halisi cha mtu,uchumi gani unakua alafu ushindwe kuongeza mishahara-unapoambiwa uchumi umekuwa maana yake kuna productivity iliyofanywa na watu wako hivyo lazima kuwaongezea watu wako mishahara kama reward ili waendelee kuzalisha zaidi ukipeleka chote kwenye miundombinu utawa discourage wazalishaji mwisho uchumi uta dropnitajie nchi moja ambayo imeendelea kwa kuwaongezea mishahara wafanyakazi tu?.. tunahitaji tuwekeze kwenye miundo mbinu kwanza. kama kipato hakijitoshelezi, ongeza vyanzo vingine vya mapato.
Kwani kuwa na hali mbaya ya kifedha ndio kunamzuia asiingie mtandanoni angalau kwa wiki mara 1-Ungekuwa na hali mbaya ungeshinda na internet siku nzima? Acha kukebehi maisha halisi ya watu, kuna namna nyingi unaweza kufikisha ujumbe bila ya kukejeli wenye dhiki ya ukweli!
ajitume kwenye kufanya nini,hizo kazi zikuwapi ali watu wafanye kwa kujituma?? Job creation ni kazi ya serikali
mie wananiboa wanapoleta siasa kwenye kila jambo. as if siasa ndio itayafanya maisha yao yawe mazuri. something has to do with "education"..Hizi hbr jamaa zetu hawazipendi ila tafiti za twaweza wanazikubali
Hali mbaya labda ulikuwa mpigaji. Lakini kama una ajira yoyote huwezi kulalamika hali mbaya. Piga kaziHuo uchumi kukua haunisaidii chochote. Hali yangu mbaya
sawaKwani mimi naishi Mbinguni?
Mlizoea misheni town sasa hazipo....mlizoea kupiga hela kwenye mikutano ya kisiasa sasa hakuna...Fanya kazi upate hela acha kulalamika .
.
Wapi ulisha wahi kuona mtu anakosa mulo au ada ya watoto alafu anaambiwa fanya kazi fulani ile pale upate hela alafu huyo mtu akakataa kufanya kisha akaja kukulalimikia kuwa maisha magumu-Shida watanzania mnakaririshwa na Wanasiasa ambao hawajui kama akina Baba Jesca.njaa na ukata haiwezi kumuacha salama mtu ambae ni mvivu na hataki kufanya kazi
mkuu, fikiria kwa wigo mpana.Alafu maana ya uchumi kukua lazima uakisi kipato halisi cha mtu,uchumi gani unakua alafu ushindwe kuongeza mishahara-unapoambiwa uchumi umekuwa maana yake kuna productivity iliyofanywa na watu wako hivyo lazima kuwaongezea watu wako mishahara kama reward ili waendelee kuzalisha zaidi ukipeleka chote kwenye miundombinu utawa discourage wazalishaji mwisho uchumi uta drop