Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,117
salaam...
kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Hii taarifa imetolewa na world bank (WB), uchumi wetu wa Tanzania unakua kwa kasi ya 7.2% kwa mwaka huu 2017. Hivyo kuifanya Tanzania kuwa ya 5 duniani na ya PILI kwa Africa kwa kasi ya ukuaji uchumi. naomba tujipigie makofi...
Ushauri: tusiendekeze sana siasa, tuchapeni kazi jamani. ugumu wa maisha hatoumaliza Magu wala Loawasa. ni sisi wenyewe raia tukichapa kazi kwa bidii tutau tokomeza umasikini. kila mtanzania kwa nafasi yake aliyopo ajenge nchi. siasa tufanye ikifika 2020. sasa hivi tuwaache waliochagulia wafanye kazi zao, huu sio muda wa kuwa evaluate. they need time to accomplish what they have promised.