Watanzania tuchangamkie: UDSM centre, India Universities. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tuchangamkie: UDSM centre, India Universities.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sinkala, Jan 4, 2011.

 1. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuna kozi zinaendelea kutolewa kupitia LIVE VIDEOCONFERENCE katika centre ya Tanzania iliyopo UDSM. Project hii ipo katika nchi 53 za Africa na watu wanasoma huku wakimuona mwalimu LIVE katika big plasma screen + projector screen. Unaweza kuuliza swali kwa kunyoosha kidole na mwalimu anaweza kuuliza swali direct kwa kumchagua mwanafunzi anayemtaka. Hii ni tofauti na online learning, hii ni Tele-Education system ambapo wote (mwalimu na mwanafunzi) lazima muwepo darasani muda wa lecture. Kuna posibility pia ya kudownload video ya lecture iliyopita for your revision. Wanafunzi wa centre ya Tanzania wana uwezo pia wa kuwaona wenzao wa centre nyingine. Kuna centre zina wanafunzi hadi 200 (km Uganda) lakini watanzania tunachechemea. Project hii inatambuliwa na Serikali ya JMT kwani ni mkataba btn countries na sio Universities, na UDSM is just a centre, lakini Wizara ya Sayansi na Teknolojia ingeweza kuweka centre popote pale nchini kama ingetaka. Kwa maelezo zaidi soma hapo chini na ukimbie kuapply kabla pazia halijafungwa:

  [​IMG]
   
 2. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,409
  Trophy Points: 280
  sioni link mkuu!!
   
 3. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu, hata hivyo sijaweka link. Ni maelezo yanayojitosheleza yapo kwenye information hiyo. Kama kuna kitu specific uliza tu.
   
 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wametuma PM, mimi nami nimeiona tu hiyo announcement na kwenda pale kujionea, ni programme nzuri sana, ila nawashauri kwa maelezo zaidi muwaone wahusika pale UDSM
   
 5. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  sasa wewe umeleta taarifa au unauliza? mbona inaonekana wewe mwenyewe huna uhakika na kile ulichokileta?
   
 6. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nimeleta taarifa kwa sababu nimejionea jinsi programme inavyoeendeshwa, na nikafanikiwa kupata copy ya announcement pamoja na application form (hardcopy + softcopy). Kama kuna upungufu wa maelezo au hujaelewa niliyoeleza au yaliyopo kwenye tangazo, ndio hapo nimeshauri uwaone wahusika pale UD.
   
Loading...