Watanzania tubadilike ili tusaidiane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tubadilike ili tusaidiane

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by omegamalekela, Oct 24, 2011.

 1. o

  omegamalekela New Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa napendekeza kama kuna MAKAMPUNI yanatoa UFADHILI wa watu kusoma yaweke wazi APPLICATION FORM zao kwenye social network kama FACEBOOK, JAMII FORUM kama hayo makampu yakotayari, ili kurahisha kwa wanao hitaji ufadhili waweze kupata
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenikumbusha kitu kuhusiana na thread yako hapo juu

  Sikusudii kuongelea makabila ila katika dhana nzima ya kusaidiana na kupendana acha niliongee hili japo naruhusu kukosolewa kama sivyo

  Ni hivi nimebahatika kuishi Kager,Mwnz,Shy,Tab,Dom,Tang na Dsm kwa vipindi tofauti lakini nimejikuta nakwama kuwaelewa watanzania wenzangu wa mkoa wa Tabora,wengi wao ni vigeugeu kupita maelezo,hawaaminiki na usimwamini sana katika kuongea labda usubiri matendo,kwa mantiki ya kusaidiana,hawako tayari katika hilo na kujipindua kwao ni suala la kawaida

  Hili hata ukiwauliza wao wanakwambia wazi kwamba hawana upendo na hata wao wenyewe hawapendani wala kusaidiana,na ndo maana ccm imekuwa inaweza kuwagawa kirahisi na kuwatawala tokea uhuru

  My take:ndugu zetu watanzania wa mkoa husika nawaomba mbadilike kwa manufaa ya taifa hili,tupendane na tushirikiane ili tufaidi matunda ya uhuru wetu...ama sivyo mtazidi kubaki nyuma katika maendeleo bila hata kupata barabara za lami miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika
   
Loading...