Watanzania tuamke, viongozi wanatudharau

Afu new I’d....em niambie I’d yako ya zamani ili nichat nawe kwa kujiachia hapa....maana nipo na muda ndiyo niende kulambalala🤓
Mpaka kutafuta mpya ujue ya zamani isha expire😂😂.

Wewe jiachie kwa raha zako mama.
 
haya yote kinachotafutwa ni vijana wa kiume watamani kuwa kama dada zao. homoni za asili zinawindwa.

take care Tanzanians! wake up!!!!!!
 
Kuna mjadala wa kuletewa msaada wa mchele na nchi ya Marekani na walengwa ni vijana wetu walioko mashuleni.

Kwa bahati mbaya kizazi hiki hakina uwezo wa kuhoji na wazazi wao wamekuwa machawa wanaosifia kila kitu kinachofanywa na mabwana wakubwa bila kujali madhara ya kitu chenyewe.

Wazazi na wanafunzi wa shule hizo wanahaki ya kufahamu kama;

1.Shule hizo zilikuwa hatarini kiasi gani kufungwa sababu ya uhaba wa chakula?

2. Wakuu wa shule hizo waliandika barua wizarani kuomba msaada wa dharula wa kupatiwa chakula? Kama hawakuandika, serikali imejuaje kama wanahitaji msaada?

3. Wazazi walihusishwa kwenye majaribio ya project hiyo ya GMO? (Walijaza consent form?) ya kukubali msaada huo wa chakula? Kitu cha kupewa bila kuomba unayo haki ya kupokea au kukataa na kisheria watoto maamuzi yao hufanywa na wazazi

Kama wazazi na uongozi wa shule walishirikishwa hatua kwa hatua na wakakubali wenyewe, basi sasa ni zamu yetu kuhoji kwasababu hatukuwa na taarifa na ni haki yetu kufahamu pale maslahi ya kiafya ya watanzania wenzetu yanapokuwa mashakani.

Hata kama yote hayo yalifanyika, yatupasa kufahamu kwamba wakulima wa mchele "originale" huko mashambani wanalanguliwa na madalali mchele wao mzuri kwa bei rahisi sana na mchele wao kusafirishwa nchi za nje kwa bei ya super normal profit, halafu watoto wao wanafanyiwa majaribio kwa kulishwa mfano wa mchele uliotengenezwa maabara na viongozi wao wanachekelea mbele ya camera

Tutambue kwamba hayo mazao ya GMO ni project ya muda mrefu yenye malengo maalumu ambayo ki uhalisia wanaofahamu ni wao wenyewe.

Ni jambo la ajabu sana kuruhusu wafanye majaribio ya miradi yao kwa watoto wetu. Huu ni wenda wazimu

Kama zamani, watoto hawa walitakiwa wagome kula na waandamane kudai haki yao ya kula chakula kizuri.

Wazazi nao huku mtaani walitakiwa waifundishe serikali kwamba hawajashindwa kuwapa watoto wao chakula kizuri. Wazazi wafungashe viroba vya mchele kutoka Kyela na Kilombero na madumu ya mafuta ya alizeti kutoka Singida wawapelekee watoto wao shuleni kama ishara ya kuonyesha kwamba Tanzania hatujafikia hatua ya kupewa msaada wa chakula.

Kwanini chakula hicho kipelekwe kwa vijana? Watanzania tuamke
Hizo zote ni deal za watu wachache wenye upeo mdogo sana. Kuna theory moja kwenye uchumi inaitwa comparative advantage. Hii theory inasema, nina quote "A country will specialize in production of goods in which it has a greatest advantage in resources and obtain others through exchange. 'Kwa tafasiri isiyo rasmi. Nchi itajikita kwenye uzalishaji wa bidhaa ambazo, ina malighafi za kutosha na itapata bidhaa zingine kwa kununua au kugiza kutoka nje. Mfano hapa Tanzania, tuna malighafi rahisi, kama mchele, mahindi, sukari, maharage na nk.Hizi zote tunatakiwa tuzalishe, kwa kuwa tuna malighafi za kutosha. Kuagiza mchele kutoka USA ni utahahira wa akili.Watoto wetu hawana ajira tuanzishe viwanda vya sukari miwa IPO. Sisi tunatakiwa tuagize magari,computer, simu na vyote tusivyoweza kuzalisha. Kwa kuwa hatuna technology. Bible inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Wasaidiz wa Rais hawana maarifa kabisa. Wapo hapo kwa kutumia migongo ya wazee wastafu wakina kikwete, Makamba na wengine.
 
Kuna "watoto" wamevamia kwenye hii mada kuchangia vitu visivyoeleweka. Hii ndo picha halisi ya vijana wa Taifa hili na pengine ukifuatilia wanaotoa maoni yasiyoendana na mada husika miongoni mwao ni wasomi
 
Njaa ya mwaka 1984 Serikali iliomba hizo burga na Unga wa yanga kutoka Marekani ili wazazi wenu wasife njaa. Wazazi wenu walikuwa wakipanga foleni siku nzima ili wasife njaa na nyie mzaliwe .Je wazazi wenu waligeuka mashoga baada ya kula yanga na burga ,hebu ongeeni na wazazi wenu wawape habari za burga na unga wa yanga .Naona mada za kijinga zimekuwa nyingi sana humu JF siku hizi
 
Mtanzania,njia pekee ni wewe kushusha nondo ili kuwaonesha hawa watoto namna bora ya kuandika.si kuwalaumu
 
Njaa ya mwaka 1984 Serikali iliomba hizo burga na Unga wa yanga kutoka Marekani ili wazazi wenu wasife njaa. Wazazi wenu walikuwa wakipanga foleni siku nzima ili wasife njaa na nyie mzaliwe .Je wazazi wenu waligeuka mashoga baada ya kula yanga na burga ,hebu ongeeni na wazazi wenu wawape habari za burga na unga wa yanga .Naona mada za kijinga zimekuwa nyingi sana humu JF siku hizi
Mihemko,
 
Hizo zote ni deal za watu wachache wenye upeo mdogo sana. Kuna theory moja kwenye uchumi inaitwa comparative advantage. Hii theory inasema, nina quote "A country will specialize in production of goods in which it has a greatest advantage in resources and obtain others through exchange. 'Kwa tafasiri isiyo rasmi. Nchi itajikita kwenye uzalishaji wa bidhaa ambazo, ina malighafi za kutosha na itapata bidhaa zingine kwa kununua au kugiza kutoka nje. Mfano hapa Tanzania, tuna malighafi rahisi, kama mchele, mahindi, sukari, maharage na nk.Hizi zote tunatakiwa tuzalishe, kwa kuwa tuna malighafi za kutosha. Kuagiza mchele kutoka USA ni utahahira wa akili.Watoto wetu hawana ajira tuanzishe viwanda vya sukari miwa IPO. Sisi tunatakiwa tuagize magari,computer, simu na vyote tusivyoweza kuzalisha. Kwa kuwa hatuna technology. Bible inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Wasaidiz wa Rais hawana maarifa kabisa. Wapo hapo kwa kutumia migongo ya wazee wastafu wakina kikwete, Makamba na wengine.
Huzuni Sana. Asante mkuu Kwa mawazo chanya
 
Tupaze sautti,

Maghala ya Serikali yapo, iweje tukopeshwe Mchele muda huu wa msimu wa wakulima kuvuna?
 
Njaa ya mwaka 1984 Serikali iliomba hizo burga na Unga wa yanga kutoka Marekani ili wazazi wenu wasife njaa. Wazazi wenu walikuwa wakipanga foleni siku nzima ili wasife njaa na nyie mzaliwe .Je wazazi wenu waligeuka mashoga baada ya kula yanga na burga ,hebu ongeeni na wazazi wenu wawape habari za burga na unga wa yanga .Naona mada za kijinga zimekuwa nyingi sana humu JF siku hizi
Vizuri umesema wewe mwenyewe kwamba "kulikuwa na njaa". Vipi hizo shule zina njaa pia kwa sasa? Tumeshindwa kuzisaidia wenyewe?
 
Hamuwezi kulisha wanafunzi wote chakula bora, ni jambo jema Wamarekani wakatusaidia.
 
Kuna mjadala wa kuletewa msaada wa mchele na nchi ya Marekani na walengwa ni vijana wetu walioko mashuleni.

Kwa bahati mbaya kizazi hiki hakina uwezo wa kuhoji na wazazi wao wamekuwa machawa wanaosifia kila kitu kinachofanywa na mabwana wakubwa bila kujali madhara ya kitu chenyewe.

Wazazi na wanafunzi wa shule hizo wanahaki ya kufahamu kama;

1.Shule hizo zilikuwa hatarini kiasi gani kufungwa sababu ya uhaba wa chakula?

2. Wakuu wa shule hizo waliandika barua wizarani kuomba msaada wa dharula wa kupatiwa chakula? Kama hawakuandika, serikali imejuaje kama wanahitaji msaada?

3. Wazazi walihusishwa kwenye majaribio ya project hiyo ya GMO? (Walijaza consent form?) ya kukubali msaada huo wa chakula? Kitu cha kupewa bila kuomba unayo haki ya kupokea au kukataa na kisheria watoto maamuzi yao hufanywa na wazazi

Kama wazazi na uongozi wa shule walishirikishwa hatua kwa hatua na wakakubali wenyewe, basi sasa ni zamu yetu kuhoji kwasababu hatukuwa na taarifa na ni haki yetu kufahamu pale maslahi ya kiafya ya watanzania wenzetu yanapokuwa mashakani.

Hata kama yote hayo yalifanyika, yatupasa kufahamu kwamba wakulima wa mchele "originale" huko mashambani wanalanguliwa na madalali mchele wao mzuri kwa bei rahisi sana na mchele wao kusafirishwa nchi za nje kwa bei ya super normal profit, halafu watoto wao wanafanyiwa majaribio kwa kulishwa mfano wa mchele uliotengenezwa maabara na viongozi wao wanachekelea mbele ya camera

Tutambue kwamba hayo mazao ya GMO ni project ya muda mrefu yenye malengo maalumu ambayo ki uhalisia wanaofahamu ni wao wenyewe.

Ni jambo la ajabu sana kuruhusu wafanye majaribio ya miradi yao kwa watoto wetu. Huu ni wenda wazimu

Kama zamani, watoto hawa walitakiwa wagome kula na waandamane kudai haki yao ya kula chakula kizuri.

Wazazi nao huku mtaani walitakiwa waifundishe serikali kwamba hawajashindwa kuwapa watoto wao chakula kizuri. Wazazi wafungashe viroba vya mchele kutoka Kyela na Kilombero na madumu ya mafuta ya alizeti kutoka Singida wawapelekee watoto wao shuleni kama ishara ya kuonyesha kwamba Tanzania hatujafikia hatua ya kupewa msaada wa chakula.

Kwanini chakula hicho kipelekwe kwa vijana? Watanzania tuamke
Mtanikumbuka
 
Back
Top Bottom