Hizo zote ni deal za watu wachache wenye upeo mdogo sana. Kuna theory moja kwenye uchumi inaitwa comparative advantage. Hii theory inasema, nina quote "A country will specialize in production of goods in which it has a greatest advantage in resources and obtain others through exchange. 'Kwa tafasiri isiyo rasmi. Nchi itajikita kwenye uzalishaji wa bidhaa ambazo, ina malighafi za kutosha na itapata bidhaa zingine kwa kununua au kugiza kutoka nje. Mfano hapa Tanzania, tuna malighafi rahisi, kama mchele, mahindi, sukari, maharage na nk.Hizi zote tunatakiwa tuzalishe, kwa kuwa tuna malighafi za kutosha. Kuagiza mchele kutoka USA ni utahahira wa akili.Watoto wetu hawana ajira tuanzishe viwanda vya sukari miwa IPO. Sisi tunatakiwa tuagize magari,computer, simu na vyote tusivyoweza kuzalisha. Kwa kuwa hatuna technology. Bible inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Wasaidiz wa Rais hawana maarifa kabisa. Wapo hapo kwa kutumia migongo ya wazee wastafu wakina kikwete, Makamba na wengine.