Watanzania tuamke juu ya Lowasa.

Watanzania tuamke juu ya Lowasa.

Seifabby

Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
6
Reaction score
3
Nimekuwa nikifikiria sana na kugundua kuwa Mara nyingi tumekuwa tukifikirishwa na hivi kuyachukulia baadhi ya mambo kuwa ni mabaya hata km c mabaya na mengine kuwa ni mazur ht km c hivyo kisa tu eti yamesemwa na flani ambae ni maarufu.
Kwa mawazo yangu mm,wapigania wokovu/ukomboz wa kweli,hawawatengi wenye dhambi na kuwakataa badala yake huwapokea na kuwasaidia wasigeuke nyuma(wasirud dhambini).

Yesu alipinga dhambi/uovu kila siku ktk maisha yake hapa duniani,lkn aliwaruhusu wenye dhambi kuungana nae ili atimize malengo yake ya ukombozi,kwani angewezaje kuwakomboa wkt anawatenga na kukumbatia waliosafi ambao hata ujio wake usingekuwa na sababu km watu wote wangekuwa safi?
Alipokaa na wenye dhambi wanaowaza vibaya wakamlaumu eti kisa anakaa na kula na wenye dhambi.
Mwenyewe akajibu "sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu"(rejea Lk 5:30-32).

Mtakatifu Paulo alikuwa mdhambi mkubwa na muuaji alieangamiza kanisa na hivyo alikuwa anamuudhi yesu(rejea matendo 9:1-5).
Lkn yesu kwa kuwa hakuwa na chuki wala maslah binafs zaidi ya kukomboa,alimpokea Paulo ktk kambi yake na umeona ni jinsi gani Paulo alivyoeneza habari njema(rejea matendo 9:17-21).

Mungu hapendi dhambi.Hilo twalijua na tumesikia waziwazi akiipinga dhambi(rejea 1kor 6:9-10/kumb 25:16/isaya 59:2).
Lkn zakayo mtoza ushuru akiwa miongoni mwa hao watenda dhambi,alipoamua kwa hiari yake kuja kwa yesu upande ambao kwa wkt huo aliuona wa haki,yesu hakumkataa,alimpokea kiroho safi na kumwambia "wokovu umefika kwako"(rejea Lk 19:1-10).

Biblia ktk mifano mbalimbali ilioitumia,upo mfano wa kondoo aliepotea.
Ktk mfano huo mchungaji mwenye kondoo 100,anatajwa kuwaacha kondoo 99 na kwenda kumtafuta kondoo mmoja aliepotea na furaha ya kumpata kundoo huyo mmoja aliepotea ni kubwa mno(rejea math 18:12-13).
Hii haina maana wale kondoo 99 hawana thamani,bali kwa wapigania wokovu wa kweli furaha kwao ni kukomboa waliopotea na c kuwafungia mlango ili wabaki upotevuni,na wao kubaki na wasafi walewale pasipo kukomboa wengine.

Kwa uelewa wangu fundisho la kibiblia ni kwamba,historia haina nafasi ktk safari ya wokovu kwa Maana ya kwamba,km uliishi dhambini kwa mda mrefu huko nyuma,lkn ikafika siku ukafanya toba ya kweli na kifo kikakukuta ktk hari hiyo,basi utakuwa ktk wokovu.Na km uliishi kitakatifu siku nyingi huko nyuma, lkn ukaja kuanguka dhambini na ukafa ktk hari hiyo,utakuwa umeangamia.

Kwaio ktk maisha ya kupigania wokovu au ukombozi,ni lazima kukomboa walio na wanaopotea na kuwaacha.

Hivyo ili kufanikisha ni vema kila aangukae ainuke safari iendelee,na akishindwa kuinuka asaidiwe kwani akiinuka ni furaha lkn akishindwa kbs kuinuka ni jambo la kusikitisha lkn safari iendelee.Na wkt huohuo ni lazima mkomboe wale waliopotea ili kuongeza kundi la wasiopotea na kupunguza kundi la waliopotea.

Sasa Mimi nashangaa;
Mtu anapigania ukombozi wa watu,alaf mtu huyohuyo hataki waliopotea watoke upotevuni waingie upande alipo yeye!!!
kwa madai eti watanzania msiwafanye hawana akili,iweje mtu yuleyule mliesema mchafu leo mnampokea?!!

Unapiganiaje ukombozi wkt hufurahii waliopotoka kuacha upotovu na kuja kwako?!!!

Au labda hujiamini,hivyo unaamini kuwa hauna uwezo wa kumfanya huyo anaetoka uovuni kuachana na uovu wake?!!!

Na hivyo unaamini nguvu yake ni kubwa kiasi kwamba atakubadilisha wewe kuwa muovu?!!!

Au labda issue c ukombozi kuna kitu nyuma ya pazia ambacho mnadhani mkipokea watu zaid manufaa yake kwenu binafs yatapungua?!!!

Hivi hawa UKAWA hawana madhaifu hata kidogo ya kuwakosoa ili wajirekebishe mpaka tulaumu ambalo c tatizo hata kidogo na wala halina mashiko?!!!

Wewe ni nani hata useme mtu aliekosea hafai tena,wkt Mungu mwenyewe anakubali toba?!!!.
(Ni mawazo yangu tu,huna sababu ya kukwazika).
Mwanamageuzi.
 
umeandika makala nzuri sana JUNIOUR MEMBER,ila umesahau kuwa katika safari ya wokovu unakuwa kiumbe kipya unatakaswa na damu ya YESU,hauoshwi na maneno ya watu,hauoshwi kwa kuhama dhehebu,PAULO aliendelea kuwa myahudi yuleyule akiishi mnao akihubiri kati yao lakini matendo yake yalibadilika akawa hawaui tena watu waliokuwa wanaeneza injili,huyu unaemsema amekimbia kwa kukosa jambo ambalo alilitamani toka ujanani kwake hadi akaunda mfumo ili alipate jambo hilo.

Kukimbia uko hakuitwi kuokoka,katika medani za kivita hyo tunaita Retreat,lakini amerudi nyuma kivp,amerudi kwa usahihi au uko alipoenda ndio anzidi kujiangamiza,sababu marafiki wake wa mda mrefu amewageuza kuwa maadui na ambao ndio wengi kumzidi yeye,JE atavuka salama?
 
Omuchimati nimefatilia sana hija zako na kuna uzi flani umetupia watu wakaanza kutukana cjui kwann hawa jamaa unapowaambia ukweli wanakuwa na matusi kiukweli ww ni mtu unayeelewa politics achana na hao wanaokubeza mkuu upo sahihi sana kila kona wao ndo hawana hoja wanaishia kutukana
 
umeandika makala nzuri sana JUNIOUR MEMBER,ila umesahau kuwa katika safari ya wokovu unakuwa kiumbe kipya unatakaswa na damu ya YESU,hauoshwi na maneno ya watu,hauoshwi kwa kuhama dhehebu,PAULO aliendelea kuwa myahudi yuleyule akiishi mnao akihubiri kati yao lakini matendo yake yalibadilika akawa hawaui tena watu waliokuwa wanaeneza injili,huyu unaemsema amekimbia kwa kukosa jambo ambalo alilitamani toka ujanani kwake hadi akaunda mfumo ili alipate jambo hilo.

Kukimbia uko hakuitwi kuokoka,katika medani za kivita hyo tunaita Retreat,lakini amerudi nyuma kivp,amerudi kwa usahihi au uko alipoenda ndio anzidi kujiangamiza,sababu marafiki wake wa mda mrefu amewageuza kuwa maadui na ambao ndio wengi kumzidi yeye,JE atavuka salama?

Hongera sna nakufatilia sana unachowaeleza japo wanakutukana lakin ni ukweli mtupu
 
Nashukuru kwa nakala safi. Kumbe bado kuna watz wanaweza kuandika. Maana wengine ni muharo mtupu.

Kuhusu lowassa ndie mwokozi kwakweli kutoka kwenye mikono ya wafilisti ccm.
 
Back
Top Bottom