Watanzania tuache uvivu na wivu

Watanzania tuache uvivu na wivu

Tunaongezea..
Wale wachache waache kuteka, KUNYANYASA, KUTESA, KUUWA, wizi wa maliasili na rasilimali.
Waache ubinafsi, uroho wa utajiri na madaraka.
Waache kuwa MACHAWA....
 
1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu).

2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa.

#OktobaTunatiki.
NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
Viongozi wanamali ambazo ukiwaambia wazitolee maelezo hawatakuwa nayo!

Kama kodi zetu ndio zinalipa ten ten kuhonga watu wahidhurie kampen za Ssh kuna haja gani sasa ya kulipa iyo kodi?

Fikiria kwa kichwa sio makalio yako makubwa na meusi stupid!
 
Back
Top Bottom