SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Wivu ni kitu kibayaKwa hiyo hapo umeshamaliza mkuu au kuna muendelezo tuusubirie?..
Ili ueleweke tuhakikishie kwanza kama wewe si drone ya hao unaowaita waliofanikiwa!1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu).
2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa.
#OktobaTunatiki.
NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
Mapunga mnazidi kuongezeka bongo!...maku wewe1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu).
2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa.
#OktobaTunatiki.
NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
mbona unaandika kinyonge sana, maana utapelekewa moto mpaka ukimbie ID yako.Wivu ni kitu kibaya
Madako yakoπ«©1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu).
2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa.
#OktobaTunatiki.
NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
πππKwa hiyo hapo umeshamaliza mkuu au kuna muendelezo tuusubirie?..
ππΏ Unakazwa1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu).
2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa.
#OktobaTunatiki.
NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
Tuwe wazalendo, tuijue katiba na kuiheshimu, tuwajibike na kulinda hali, maslahi ya kila Mtz. Tulinde nchi yetu, na kuhakikisha rasilimali zinatumika kwa manufaa ya kila mwananchi. Wanasiasa wadhibitiwe, kuanzia kipato chao bila kuwatumikia WaTz, mpaka mamlaka ya kupindukia!1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu).
2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa.
#OktobaTunatiki.
NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?