Watanzania Tuache Kukurupuka Ovyo

Unaweza ukawa sahihi,lakini hii haiondoi ukweli tabia yetu ya kupenda kukurupuka na ni rahisi sana kwetu kutoa lawama kwakuwa tu tunajisikia kufanya hivyo
Watu Ku-express emotions zao ndo unaita kukurupuka.
 
Wafuasi wa Lissu akili zao sawa na za ng'ombe tu
 
Watu Ku-express emotions zao ndo unaita kukurupuka.
Kwahiyo kwakuwa una express hisia zako ndio useme tu bila kupima mambo?

Tangu lini ukaona ukwei ukiwa katika emotion?

Ndio maana tunashauriwa tutumie fikra pia katika kuyaangalia mambo
 
Kaelewa ila ni kwa sababu kaamua kuwa upande wa fisi.
Na hii ndio kasumba yenu,kwakuwa mnapenda kusapotiana pale mnapopenda akitokea mtu tofauti na upande wao anaonekana fisi

Mjifunze kuambiwa ukweli na huko ndio kukua
 
Unaweza ukawa sahihi,lakini hii haiondoi ukweli tabia yetu ya kupenda kukurupuka na ni rahisi sana kwetu kutoa lawama kwakuwa tu tunajisikia kufanya hivyo
Yaani uache kitu ambacho unakifanya. Umekiri tabia yenu ya kukurupuka.IN SHORT UMEKURUPUKA HOVYO.
 
Mpumbavu mwingine Huyu, siku akijeruhiwa Ndugu yako uje hapa uongee huu upumbavu
 
Lengo la polisi kusema alikua akipata KINYWAJI ni lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…