Watanzania tuache kuishi kwa mazoea!

Watanzania tuache kuishi kwa mazoea!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
35,797
Reaction score
86,565
Hii nchi tunavyoishi ni kama vile hakuna mabadiriko!, hata kama yapo basi yanaenda kama kobe kitu ambacho si halali!.

Pesa serikalini zinapigwa lakini bado kuna watu mnaishangilia serikali, badilikeni acheni mazoea hizo ni nguvu zenu zinatumika na wachache!.

Miaka 60 ya uhuru lkn bado wanafunzi wanakaa chini na bado mnaichekea serikali tena mnapiga mapambio na wimbo wenu wa mitano tena!.

Mpaka leo bado watu tunalia umeme na maji haya ni mazoea mabovu sana!, tunavyozidi kuchekea ndio matatizo yanaongezeka!. yani nchi ya kwetu wote lakini tunavyoishi kana kwamba kila mtu atajujua kivyake!.. kuna vitu vya mtu kivyake na kuna vitu vya kijamii sasa vitu vya kijamii havitakiwi kuchekewa hovyo!.

we need to be serious guys!
Mataifa ya wengine wanajiangalia wao kwanza ndo wanaangalia mataifa mengine!. Haiwezekani kila siku tukae tunaishi kwa kutegemea mpaka aje kiongozi mmoja mkali ndo ayakemee haya madudu!, huyo kiongozi mkali hata akija ni ngumu kupambana na majizi yaliyomzunguka yatafanya chochote yampoteze!.

Muhimu ni sisi wenyewe kutokukubali upuuzi,ulaghai, kutochekea mambo ya hovyo, kuhoji nakufatilia kodi zetu hii ni haki yetu maana hatukai bure sisi sio wakimbizi kwenye nchi yetu tuna kila haki, uhuru.. shida tunawaachia wachache.

Kama viongozi na serikali hawataki kubadirika ili kutuletea tija ktk nchi basi kwa pamoja tuwabadirishe wao!, hatuwezi tukakaa tu tunavumilia madudu yanayotuuma kila mahali!..

nchi hii gharama za kila kitu huwa zinapanda hazijawahi kushuka haijalishi uzalishaji umeongezeka ama lah!, huu ni ukiritimba!.

Uhuru tulioupata mwaka 1961, Ulikuwa ni kutukwamua dhidi ya wakoloni ili tujiletee maendeleo yetu binafsi!, sasa uhuru huo kama upo halafu maendeleo hakuna hiyo ni sawa na kuunajisi uhuru huo!.

acheni kubabaika na visukari na chumvi na hizo hamsini, ukipambana vyema ngazi ya uongozi ikakaa katika haki unaweza kuingiza pesa nzuri tu ukaachana na hivyo vikanga vyakupewa kila baada ya miaka mitano!.

Tusiwe mazwazwa yakuchekea vitu vya hovyo, semi za hovyo iwe ni chama chochote cha siasa kikishafikia dola kinatakiwa kiwe serious na matakwa ya nchi na wananchi ni sisi ndo tunaamua kudekeza ama kutodekeza tubadilike!.
 
Unakuta baada ya miaka mitano likiongozi ndo linarudi jimboni kwake kuchekeachekea na halijafanya chochote nanyinyi mnalichekeachekea!.
limeshashiba vitita vya fedha!, maendeleo hakuna hata aliyoahidi nusu yake hajatekeleza!, hajui hata kwenye jimbo lake anakabiliwa na nini likizo yenyewe anaenda kuilia dubai!.
 
Pole sana KENZY umeandika kwa uchungu mwingi sana.
inakera tunamazoea ya ajabu ajabu!, hata likiandaliwa tamasha akaalikwa kiongozi ni kuchekea chekea tu, muda mwengine hawa viongozi waalikeni wakitoka hapo wameipatapata!.
si kila tamasha kwaajili yakumfurahisha kiongozi matamasha mengine waje waone maisha halisi ya mtanzania na muwe serious muwaambie bwana ama bibi unaona hii hali..? hatuitaki imetuchosha ama unamuuliza kwa miaka hii 60 ya uhuru unafikiri bado inatakiwa tuwe hivi..?

Ukiona viongozi wa nchi wanapigania kukaa kwenye viti jua kuna bwerere wala sio kwamba wana hali yakutetea masilahi ya nchi, tukisema twende serious kabisa wanavyolipwa hiyo mishahara yao wataiona michungu watajiengua ni kuwakalia kooni tu nchi hautaki macheko!.
 
Hii nchi tunavyoishi ni kama vile hakuna mabadiriko!, hata kama yapo basi yanaenda kama kobe kitu ambacho si halali!.

Pesa serikalini zinapigwa lakini bado kuna watu mnaishangilia serikali, badilikeni acheni mazoea hizo ni nguvu zenu zinatumika na wachache!.
Miaka 60 ya uhuru lkn bado wanafunzi wanakaa chini na bado mnaichekea serikali tena mnapiga mapambio na wimbo wenu wa mitano tena!.
Mpaka leo bado watu tunalia umeme na maji haya ni mazoea mabovu sana!, tunavyozidi kuchekea ndio matatizo yanaongezeka!. yani nchi ya kwetu wote lakini tunavyoishi kana kwamba kila mtu atajujua kivyake!.. kuna vitu vya mtu kivyake na kuna vitu vya kijamii sasa vitu vya kijamii havitakiwi kuchekewa hovyo!.

we need to be serious guys!
Mataifa ya wengine wanajiangalia wao kwanza ndo wanaangalia mataifa mengine!. Haiwezekani kila siku tukae tunaishi kwa kutegemea mpaka aje kiongozi mmoja mkali ndo ayakemee haya madudu!, huyo kiongozi mkali hata akija ni ngumu kupambana na majizi yaliyomzunguka yatafanya chochote yampoteze!.

Muhimu ni sisi wenyewe kutokukubali upuuzi,ulaghai, kutochekea mambo ya hovyo, kuhoji nakufatilia kodi zetu hii ni haki yetu maana hatukai bure sisi sio wakimbizi kwenye nchi yetu tuna kila haki, uhuru.. shida tunawaachia wachache.

Kama viongozi na serikali hawataki kubadirika ili kutuletea tija ktk nchi basi kwa pamoja tuwabadirishe wao!, hatuwezi tukakaa tu tunavumilia madudu yanayotuuma kila mahali!..
nchi hii gharama za kila kitu huwa zinapanda hazijawahi kushuka haijalishi uzalishaji umeongezeka ama lah!, huu ni ukiritimba!.

Uhuru tulioupata mwaka 1961, Ulikuwa ni kutukwamua dhidi ya wakoloni ili tujiletee maendeleo yetu binafsi!, sasa uhuru huo kama upo halafu maendeleo hakuna hiyo ni sawa na kuunajisi uhuru huo!.
acheni kubabaika na visukari na chumvi na hizo hamsini, ukipambana vyema ngazi ya uongozi ikakaa katika haki unaweza kuingiza pesa nzuri tu ukaachana na hivyo vikanga vyakupewa kila baada ya miaka mitano!.

Tusiwe mazwazwa yakuchekea vitu vya hovyo, semi za hovyo iwe ni chama chochote cha siasa kikishafikia dola kinatakiwa kiwe serious na matakwa ya nchi na wananchi ni sisi ndo tunaamua kudekeza ama kutodekeza tubadilike!.
Kapambane mkuu tupa pembeni simu humu hutosikika na watakao kusapoti ni waoga hawafanyi chochote!
 
Mimi nimetoa ujumbe wa watu kubadilikia na sio kuwaambia wakafanye vurugu ama migomo!, kuishi kwa mazoea kufe sisi ndo tunawaathiri viongozi kufanya wanavyotaka!, tunakulabi kulaghaika na vitu vidogo mno tena vyakijinga haswa inakera sana!..
 
KENZY kumbe ukituliza kichwa unatoa madini haswa.
Watakuja wale wanaume, waliozoea kula kwa kulamba 🍑 ya watu, ndiyo wale waanze tukana hapa.

Umeongea vema kabisa. Watanzania wengi ni kama wameshazoea shida. Maisha ya kuishi hovyo, kutafuta kwa shida sana ni kama imekuwa lifestyle yao.

Ni kama Tz imehalalisha, viongozi waishi kifalme na kimalkia, wao Wananchi ni vijakazi vyao. Kuwafanyia hayo maisha yawe rahisi. Wakati ni kinyume chake, viongozi kuanzia namba 1 mpaka chini, wao ndiyo wafanyakazi wa wananchi, mtu anayetakiwa aishi vizuri kupitia kazi, kodi zake, rasilimali za nchi n.k ni Mwananchi.

Hawaelewi hilo, acha waendelee kusifia. Watanzania ni kama mshumaa, wanateketea huku wanaangazia viongozi.
 
Mimi nimetoa ujumbe wa watu kubadilikia na sio kuwaambia wakafanye vurugu ama migomo!, kuishi kwa mazoea kufe sisi ndo tunawaathiri viongozi kufanya wanavyotaka!, tunakulabi kulaghaika na vitu vidogo mno tena vyakijinga haswa inakera sana!..
Dogo hii nchi bila vurugu na migomo tutaimba wimbo huu huu hadi gen ya 3
 
@ KENZY kumbe ukituliza kichwa unatoa madini haswa.
Watakuja wale wanaume, waliozoea kula kwa kulamba 🍑 ya watu, ndiyo wale waanze tukana hapa.

Umeongea vema kabisa. Watanzania wengi ni kama wameshazoea shida. Maisha ya kuishi hovyo, kutafuta kwa shida sana ni kama imekuwa lifestyle yao.

Ni kama Tz imehalalisha, viongozi waishi kifalme na kimalkia, wao Wananchi ni vijakazi vyao. Kuwafanyia hayo maisha yawe rahisi. Wakati ni kinyume chake, viongozi kuanzia namba 1 mpaka chini, wao ndiyo wafanyakazi wa wananchi, mtu anayetakiwa aishi vizuri kupitia kazi, kodi zake, rasilimali za nchi n.k ni Mwananchi.

Hawaelewi hilo, acha waendelee kusifia. Watanzania ni kama mshumaa, wanateketea huku wanaangazia viongozi.
Kwanza jana Mbinga ilibidi wananchi wakatae Lissu kubebwa..yaani napata hasira mimi..hakuna damu za mabadiliko kabisa hii nchi ..kutwa kudanganyana Tz kisiwa cha amani..mbafu
 
Hii nchi tunavyoishi ni kama vile hakuna mabadiriko!, hata kama yapo basi yanaenda kama kobe kitu ambacho si halali!.

Pesa serikalini zinapigwa lakini bado kuna watu mnaishangilia serikali, badilikeni acheni mazoea hizo ni nguvu zenu zinatumika na wachache!.
Miaka 60 ya uhuru lkn bado wanafunzi wanakaa chini na bado mnaichekea serikali tena mnapiga mapambio na wimbo wenu wa mitano tena!.
Mpaka leo bado watu tunalia umeme na maji haya ni mazoea mabovu sana!, tunavyozidi kuchekea ndio matatizo yanaongezeka!. yani nchi ya kwetu wote lakini tunavyoishi kana kwamba kila mtu atajujua kivyake!.. kuna vitu vya mtu kivyake na kuna vitu vya kijamii sasa vitu vya kijamii havitakiwi kuchekewa hovyo!.

we need to be serious guys!
Mataifa ya wengine wanajiangalia wao kwanza ndo wanaangalia mataifa mengine!. Haiwezekani kila siku tukae tunaishi kwa kutegemea mpaka aje kiongozi mmoja mkali ndo ayakemee haya madudu!, huyo kiongozi mkali hata akija ni ngumu kupambana na majizi yaliyomzunguka yatafanya chochote yampoteze!.

Muhimu ni sisi wenyewe kutokukubali upuuzi,ulaghai, kutochekea mambo ya hovyo, kuhoji nakufatilia kodi zetu hii ni haki yetu maana hatukai bure sisi sio wakimbizi kwenye nchi yetu tuna kila haki, uhuru.. shida tunawaachia wachache.

Kama viongozi na serikali hawataki kubadirika ili kutuletea tija ktk nchi basi kwa pamoja tuwabadirishe wao!, hatuwezi tukakaa tu tunavumilia madudu yanayotuuma kila mahali!..
nchi hii gharama za kila kitu huwa zinapanda hazijawahi kushuka haijalishi uzalishaji umeongezeka ama lah!, huu ni ukiritimba!.

Uhuru tulioupata mwaka 1961, Ulikuwa ni kutukwamua dhidi ya wakoloni ili tujiletee maendeleo yetu binafsi!, sasa uhuru huo kama upo halafu maendeleo hakuna hiyo ni sawa na kuunajisi uhuru huo!.
acheni kubabaika na visukari na chumvi na hizo hamsini, ukipambana vyema ngazi ya uongozi ikakaa katika haki unaweza kuingiza pesa nzuri tu ukaachana na hivyo vikanga vyakupewa kila baada ya miaka mitano!.

Tusiwe mazwazwa yakuchekea vitu vya hovyo, semi za hovyo iwe ni chama chochote cha siasa kikishafikia dola kinatakiwa kiwe serious na matakwa ya nchi na wananchi ni sisi ndo tunaamua kudekeza ama kutodekeza tubadilike!.
Umesema kweli sana ila haya machawa hayatakuelewa na matz mengi ni misukule ya mboga mboga!
 
@ KENZY kumbe ukituliza kichwa unatoa madini haswa.
Watakuja wale wanaume, waliozoea kula kwa kulamba 🍑 ya watu, ndiyo wale waanze tukana hapa.

Umeongea vema kabisa. Watanzania wengi ni kama wameshazoea shida. Maisha ya kuishi hovyo, kutafuta kwa shida sana ni kama imekuwa lifestyle yao.

Ni kama Tz imehalalisha, viongozi waishi kifalme na kimalkia, wao Wananchi ni vijakazi vyao. Kuwafanyia hayo maisha yawe rahisi. Wakati ni kinyume chake, viongozi kuanzia namba 1 mpaka chini, wao ndiyo wafanyakazi wa wananchi, mtu anayetakiwa aishi vizuri kupitia kazi, kodi zake, rasilimali za nchi n.k ni Mwananchi.

Hawaelewi hilo, acha waendelee kusifia. Watanzania ni kama mshumaa, wanateketea huku wanaangazia viongozi.
Na kunamimtu inapita hapa inasoma na inaona hili bandiko haliwahusu!, nimekereka sana ujue kwasababu nikiangalia sekta binafsi tena wawekezaji wageni ndani ya nchi yetu wanavyo run vitu vyao wapo kwenye mstari, hawapindipindi na wakikuta hata umeiba kitu cha thamani ndogo kiasi gani ni huna kazi, wanavyofatilia vitu vyao mpaka unasema hehe!, kazi ipo unaona kabisa kampuni inaongozwa vyema na maendeleo unayaona lkn sisi ngazi ya nchi yanatajwa ma billion ya fedha hayapo watu tunachekea chekea tu hakuna anaewajibishwa!.
mtu akishindwa kuwajibisha wanaotakiwa basi muajibisheni yeye!.
 
Na kuna ule ujinga, eti kiongozi anakuja kutembelea eneo lenu na huwa mnapata shida ya usafiri kwa sababu ya barabara mbovu, inaibuka mijitu mijinga kuanza kufukia mashimo ili eti apite pazuri, angetaka kupita pazuri si angetengeneza, tunendekeza ujinga
 
Wabongo tuna PRIVATE PATRIOTISM.

HATUNA Uzalenda wa kujitoa kwa ajili ya masilahi ya nchi,kila mtu anapambania tumbo lake na familia yake,mbogo yuko radhi kuhujumu nchi ili kusudi afanikishe lengo lake.

Mimi naona ili nchi iwe na viongozi wenye ueledi na wenye nidhamu madhubuti kwa ajili ya masilahi ya nchi nilazima kuwe na HIGH IMPLEMENTATION OF LAWS.

Kama sheria za nchi hazina makali kwa waovu tuta fanya reform nyingi zenye hakuna mantiki yyte.
 
Back
Top Bottom