nia yako ni nzuri ila utafanya mambo kinyume na wao na wao wanaelewa wanachokifanya sio kizuri ila wana maslahi binafsi. Hiyo nia ingebidi uioneshe wakati upo ndani ya system tayari. Kibongo bongo kwanza ukienda kuomba kazi sehemu kama umemzidi bosi wako kisomo unabaniwa.husninyo nia yangu ni kuja kutoa mchango wangu kwenye hilokama wakikataa basi naendelea na maisha kama kawaida!
thabo, hongera kwa moyo wako wa ujasiri wa kutaka kurudi nyumbani na kurekebisha mambo. ila naungana na husninyo, huwezi pata hata mke kwa mkwala. kuna utaratibu wa kupata ajira serikalini (unless una memo nzito nzito nazo haziji kwa mikwala,lol). uwe unapitia website ya utumishi na mitandao ya job adverts na uombe kazi kama watu wengine, achana na mkwala wa kuwa kama unahitajika wakutafute sijui nini. kila la kheri
king"asti ngoja nikupe siri,
ukitumia website kamwe hawajibu,nilijaribu kuongea na waziri wa mambo ya nje na secretary aliniahidi kuwa atafikisha ujumbe,
cha kushangaza mpaka leo ni mwaka hamna majibu,nimendika email nyingi hamna majibu.
nimeweka hapa kwa ssababu wahusika wapo hapa na wanasoma hizi topic
nimesema ninajitolea kuja tufanye kazi pamoja,thats all
ningependa iwe hivyo.
Unataka Kazi bila ya mshahara au unatafuta Kazi Wzara ya Mambo ya Ndani?
Kama ni kweli nataka nijue motivation yako nini? Baada ya mabadiliko unataka waseme "XXX" ndio aliokoa migration department ya TZ? Ao unataka nini hasa? maana hakuna mtu anaweza kufanya kazi bila personnal motivation. Na please usiseme ni sababu unaipenda inchi yako coz tunaipenda sote.nitafanya kazi ya kujitolea bila mshahara kwa miezi 6
baada ya hapo wakipenda wanaweza kuniajiri,lakini katika hiyo miezi 6 tutahakikisha tunarekebisha kabisa mfumo mzima na ndio utakuwa mwanzo wa safari ndefu ya system mpya,naamini hili litakuwa jibu la ahayo matratizo
Kama ni kweli nataka nijue motivation yako nini? Baada ya mabadiliko unataka waseme "XXX" ndio aliokoa migration department ya TZ? Ao unataka nini hasa? maana hakuna mtu anaweza kufanya kazi bila personnal motivation. Na please usiseme ni sababu unaipenda inchi yako coz tunaipenda sote.
thank you ngoshwe,nitawasiliana nao na kuwapa proposal yangu tuone itakuwaje
nia yako ni nzuri ila utafanya mambo kinyume na wao na wao wanaelewa wanachokifanya sio kizuri ila wana maslahi binafsi. Hiyo nia ingebidi uioneshe wakati upo ndani ya system tayari. Kibongo bongo kwanza ukienda kuomba kazi sehemu kama umemzidi bosi wako kisomo unabaniwa.
Wazo ni zuri ila kibongo bongo sikushauri, yaani unataka kutibua dili za watu? watakuua kabla ya muda wako.
Mwa.Nyerere alijaribu kuzuia ufisadi akadungwa sindano ya sumu iliyomuua tartiibu.
Hii nchi ina wenyewe, ukileta uzalendo wanakuulia mbali.Watch out.