Watanzania ni Watu wanaopenda habari za Uzushi, Conspiracy theories na udaku

Ukweli upi ambao utakuwa Wazi?
Kwa nini unahisi kuna ukweli umefichwa?
Labda nijibu kwaniaba, tetesi za kifo zilianza kabla ya taarifa rasmi (taarifa rasmi inatoka usiku ule saa 5 tano ile nakumbuka wengi kila mtu alikua anasema kumbe ni kweli kumbe ni kweli)

Hii si ya muhimu sana, cha muhimu cha kustua kwamba kuna mambo yalienda ndivyo sivyo ni ule uvumi kwamba kuna watu wanadhibiti samia asishike madaraka ni uvumi ulikua kabla ya Raisi Samia kuapishwa, sasa interview ya Mabeyo nayeye kaweka wazi kuwa kuna watu walisahau katiba inasema nini,

Kwa paragraph ya pili ni wazi kua kuna mambo yalifichwa fichwa na bado yanafichwa, tuwaombee viongozi wetu waje kuandika vitabu maana na wao hua wanatoaga hints kadhaa
 
Mtanzania mpe habari mwambie sehemu flani mtu kajinyonga na sababu haijajulikana yeye atakupa majibu kuwa kajinyonga kwasababu ya mapenzi

Mwambie tajiri flani watoto wake wawili wamefariki atakwambia kawatoa kafara
 
Labda nijibu kwaniaba, tetesi za kifo zilianza kabla ya taarifa rasmi (taarifa rasmi inatoka usiku ule saa 5 tano ile nakumbuka wengi kila mtu alikua anasema kumbe ni kweli kumbe ni kweli)
Muanzilishi wa hili alikuwa Lisu ambaye tunajua walijikuta katika uhasimu wa level ya juu kabisa.
Hii ilikuwa mara ya pili kwa jambo hili kutokea.

Mimi naamini ni siasa tuu
Kwa paragraph ya pili ni wazi kua kuna mambo yalifichwa fichwa na bado yanafichwa, tuwaombee viongozi wetu waje kuandika vitabu maana na wao hua wanatoaga hints kadhaa

Mwanasiasa ataandika kitabu chake kisiasa. Hakuna jipya.

Raha ya kitabu kiandikwe na mtu mwingine ambaye hatakuwa biased
 
Reactions: Lax
Mtanzania mpe habari mwambie sehemu flani mtu kajinyonga na sababu haijajulikana yeye atakupa majibu kuwa kajinyonga kwasababu ya mapenzi

Mwambie tajiri flani watoto wake wawili wamefariki atakwambia kawatoa kafara

😀
Na anasimulia kwa uhakika na ukitaka dot za kuunganisha atakupa
 
Huwezi washughulikia Watu kama kina Kigogo na Mange Wakati huna chakula cha kuwapa Watu wapenda Udaku.

Udaku unasaidia pia kuwa-keep busy Watu wasio na kazi ili wasiwaze mambo ya msingi kama katiba na nchi yao
Aise....

Ngoja tuzidi kuwekeza kwenye maujinga tuwakeap bize wale watu 😄

Ova
 
Betting nigeria, Uk imeshika kuna urusi huko mamaaaa... tembea aisee...kasi kuliko Bongo.
Yaani uzi unaony sha hata ww mbongo. Unafata hisia si uhalisia
Nawakilisha
 
Aise....

Ngoja tuzidi kuwekeza kwenye maujinga tuwakeap bize wale watu 😄

Ova

Wajinga dawa yao ni kuwa-keep keep busy full stop.
Kikitoka hiki wape hiki, wakimaliza wape kile, hawajakata sawa warudishe nyuma. Vivyohivyo.
Kwanza hivyo ndio wanapenda
 
Umejiondoa kwenye kichwa cha habari

Habari nzuri ni ile muwasilishaji akijiondoa kutokuhusika, kwa sababu mtu hawezi kujichunguza. Kuna taarifa hatatoa. Vizuri ni kumwambia yeye ajitoe kwenye hayo maelezo ili awe huru kueleza kinaga ubaga.

Katika uwasilishaji, mfano mchungaji anaposimama Kanisani kuhubiri, akianza kurusha mawe utamsikia akisema, "najua tabia hii haipo kanisa hili'😀 hapo ujue anatafuta uhuru zaidi wa kushambulia na kueleza zaidi.
 
Shida si nani muanzilishi, labda shida ni waliopenyeza taarifa za kifo (watu wa ndani),

kwamba siasa anafanya mabeyo?

Kweli mkuu vitabu hivi wanavoandika wenyewe havitoshi
 
Unfortunately ninakubaliana na wewe 100%
 
Shida si nani muanzilishi, labda shida ni waliopenyeza taarifa za kifo (watu wa ndani),

kwamba siasa anafanya mabeyo?

Jpm sio mara ya kwanza kusemwa amekufa. Ile ilikuwa mara ya pili. Ya kwanza alitamka Zitto. Ikawa ni uongo.

Ukishakuwa Unazungumzia viongozi wakuu kama Rais lazima siasa uitumie utake usitake. Hivyo Mabeyo hawezi kukwepa hilo.
 
Muda utaeleza, Mtibeli
 
Hutaki watu watoe maoni yao?

Kama unadhani ni Watanzania tu, hebu kafuatilie maoni ya Wamarekani kuhusu kuuawa kwa JFK.

Watu kama ninyi ndio nuksi kwa maendeleo ya taifa.

Unajua zile mbinu za kuchora grafu kwa kuunganisha nukta? Ndicho tunafanya hapa.

Kama kuna mpotoshaji, wewe ndiye namba moja duniani.

Hakuna mtu amesema kwamba kila kinachosemwa ni ukweli; na ndiyo sababu kuna hoja na ukinzani wake.

Naweza kusema pasi na shaka kwamba sasa maadui wa taifa ni ujinga, maradhi, umaskini, pamoja na wewe hapo.
 
Mkuu bado hujamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…