Enzi za Nyerere, Kawawa, Sokoine, Kolimba, Warioba, na Salim kwisha. Na chama kikishakamatwa na mafisadi wananchi mkao mkao wa kusahaulika. Wao na Tembo, Miji mipya ya Kigamboni, Vitalu, Madini, Gesi, Wawekezaji basi! Afya, elimu, makazi, haki mahakamani na polisi ndio kwa heri.