Watanzania ni Kama Bendera Kufuata Upepo


Bonson

Bonson

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
182
Likes
62
Points
45
Bonson

Bonson

Senior Member
Joined Apr 20, 2013
182 62 45
Wana JF wenzangu,

Watanzania tunaendelea kudhihirisha kwamba tunayumbishwa kirahisi sana. Hata watawala wetu wanalijua hilo na wanalitumia kwelikweli; WA-TZ NI KAMA "BENDERA KUFUATA UPEPO". Nashangaa kwamba mara zote tunakuwa wepesi kuacha jambo moja na kurukia jingine. Hebu angalia sasa humu JF topic inayoendelea kwa zaidi ya wiki mbili ni ZITTO na CHADEMA. Wote tumehama toka kwenye issue ya KAPUYA, HALI YA ELIMU NA VIWANGO VYA UFAULU, KIFO CHA DR. MVUNGI, KATIBA na TEMBO WANAOENDELEA KUANGAMIZWA.

Huu ndio umekuwa mchezo wa Wa-TZ; yani jambo moja likitokea linafuta mengine yote: Nani anazungumzia EPA, DOWANS, MWANGOSI, ULIMBOKA, KIBANDA, AJALI ZA MELI, UDINI NA UKABILA???

Najua santuri ya ZITTO itapita baada ya siku chache halafu litaibuka jingine na wote tutasahau ya ZITTO na CDM.

Tunahitaji kubadilika katika fikra zetu Watanzania.
 
2

2pad

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Messages
327
Likes
18
Points
35
2

2pad

JF-Expert Member
Joined May 10, 2013
327 18 35
tatizo wa Tz tunapenda kushabikia wanasiasa sio sela ndo mana utakia Zt Zt yani mnaona Zt ndo ajenda ndo mana nchi haiendelei maana hatujadili mambo ya msingi tunakalia mambo yakipuuzi hivi ni mgeni yupi inchin asiyejua usaliti ndo unamuondoa Zt CDM Kama c ukosefu wa kazi jamani wa Tz.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,029
Likes
18,081
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,029 18,081 280
Judging from my experience, the press and the quality of contribution here, we mostly revolve around personalities, not policies.

Events, not entrenched elements with causative connotations.

Fleeting fluff, not fundamental formulas.

Gimmicks, not germane granulation.

Hogwash, not heuristic hinges of hourly hacks in hard horsepower.

Simple solutions to Sisyphean struggles.

Top-down tousling to tantalizing troubleshooting.

Yes yeomen to the yellow yielding yokes of ying-yang.

Zany zings, to zealous Zen-like zest.
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,227
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,227 280
habari ni habari inapokua ya moto
 
K

Kifarutz

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Messages
1,743
Likes
69
Points
145
K

Kifarutz

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2012
1,743 69 145
Hii ya ZZK ni kubwa kwani huyu kijana ni salia kuu kuuu litumikalo CCM..! Ni hot news..! We are done with the rest..!
 
Kasheshe

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Messages
4,699
Likes
101
Points
145
Kasheshe

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2007
4,699 101 145
Katiba tunatakiwa kuongelea nini wakati huu tume imejifungia?
 
C

casampeda

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
2,792
Likes
99
Points
145
C

casampeda

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
2,792 99 145
SLAA na MBOE wanawafanya watu wa kanda zingine hawana akili,wanafukuza watu alafu wanaitisha uchaguzi!!!
 
Ndugu yangu

Ndugu yangu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
608
Likes
48
Points
45
Ndugu yangu

Ndugu yangu

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
608 48 45
si kama bendera kufuata upepo ni bendera hasa, mambo ya msingi hayajadiliwi kwa kina na kutolewa uamuzi, tumekalia politics
 

Forum statistics

Threads 1,250,662
Members 481,436
Posts 29,740,878