Bonson
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 183
- 147
Wana JF wenzangu,
Watanzania tunaendelea kudhihirisha kwamba tunayumbishwa kirahisi sana. Hata watawala wetu wanalijua hilo na wanalitumia kwelikweli; WA-TZ NI KAMA "BENDERA KUFUATA UPEPO". Nashangaa kwamba mara zote tunakuwa wepesi kuacha jambo moja na kurukia jingine. Hebu angalia sasa humu JF topic inayoendelea kwa zaidi ya wiki mbili ni ZITTO na CHADEMA. Wote tumehama toka kwenye issue ya KAPUYA, HALI YA ELIMU NA VIWANGO VYA UFAULU, KIFO CHA DR. MVUNGI, KATIBA na TEMBO WANAOENDELEA KUANGAMIZWA.
Huu ndio umekuwa mchezo wa Wa-TZ; yani jambo moja likitokea linafuta mengine yote: Nani anazungumzia EPA, DOWANS, MWANGOSI, ULIMBOKA, KIBANDA, AJALI ZA MELI, UDINI NA UKABILA???
Najua santuri ya ZITTO itapita baada ya siku chache halafu litaibuka jingine na wote tutasahau ya ZITTO na CDM.
Tunahitaji kubadilika katika fikra zetu Watanzania.