Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

Huo ni utafiti wa kudhalilisha watu tu, ni watanzania wachache ambao wataukubali unless research methodology iliyotumika inaridhisha, yaani wameangalia nchi ngapi, Tanzania wamepitia watu wangapi kwa vigezo vipi? Sikubaliani nao maana nikiwakubalia nitakuwa mnafiki
 
Siku hizi Tafiti nyingi zinatulenga waTz sijui kwnn
 
Utafiti uliofanywa na wasomi wa Chuo kikuu cha Nottingham nchini uingereza ulibaini kuwa sisi watanzania ndio vinara wa kuwa wanafiki duniani nini maoni yako.

Weka ushahidi tuusome, labda hujakielewa ulichokisoma. Usitumezeshe unafik wako.

Ingawa wapo Watanzania wanafik wengi sana lakini sidhani kama tumeshika namba moja duniani.
 
hao wasomi gani wanatafiti watu wanafiki wakati kuna vitu vingi vya kufanyia utafiti
 
Inawezekana maana tupo kama bendera fata upepo Leo tupo hivi kesho vile msimamo hamna
 
Ni kweli kabisa, wala utafiti huo haujatoa majibu ya uongo

that is the way we are
 
Utafiti uliofanywa na wasomi wa Chuo kikuu cha Nottingham nchini uingereza ulibaini kuwa sisi watanzania ndio vinara wa kuwa wanafiki duniani nini maoni yako.
Nikweli kabisa mkuu,,sisi watanzania tupo radhi kumshabikia mzungu kavaa chupi tu na tukamkosoa mwafrika alie vaa suti
 
yawezekana sababu loh... tukianzia kwenye familia aiseee ni hatari
 
Back
Top Bottom