Watanzania naomba muangalie hii picha.

Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
14,702
1,195
Hivi huu mchezo wa Kenya kutumia jina la Kilimanjaro ili 'kuuza kwao' utaisha lini?

Hii ni majuzi Waziri Mkuu wa Kenya Mh Raila Odinga akiwa Malaysia....kahawa ni 'Kenya Coffee' lakini
mbona tena hapo juu naona 'Kilimanjaro'?

...ama nd'o ishatoka hii nayo?

mwanapolo

mwanapolo

Senior Member
194
195
Viongozi wetu bado wako kny kampeni kunadi sera za ccm na uchaguzi ni 2015! Kenya wanaidi nchi yao kwa mbinu yoyote wanayo ijua kuwa italeta ushawishi, na uchaguzi wao ni march 2013!
 
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
3,385
1,225
Yaani wewe kweli unaweza kujilinganisha na Kenya kweli, hakuna hata sehemu moja tunaweza kulingana na Kenya. Mfano mzuri tu Kenya ni mwekezaji wa pili ama watatu ktk nchi zinazowekeza Tanzania, Hapo hapo jiulize Tanzania ni mwekezaji wa ngapi nchini Kenya, Kenya wana Bank yao inayooperate hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa ambayo ni Kenya Commercial Bank sasa jiulize sie Watanzania tuna ama bank yoyote ya kitanzania inayooperate Kenya, linganisha Jomo Kenyata International Airport na Julius Nyerere International Airport napo hapo utajionea utofauti mkubwa. In short waKenya wapo mbele sana sisi Watz kazi yetu ni mdomo, maneno ya siasa siasa,wizi na majungu ndo maana hatutaweza kupiga hatua kamwe mpaka tuombewee tena na watumishi wa Mungu wa ukweli sio hawa manabii wa uongo wanaejiita majina kibao mara Mtume na Nabii, mara mzee wa upako, mara mzee wa misukule. Yaani tunahitaji mambi kama yale ya Yesu kule Mzeituni
 
ITEGAMATWI

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
4,739
2,000

Mkuu mbona unatoka nje ya mada? Hapa issue ni Kenya kutumia jina la rasilimali inayopatikana Tanzania kujinufaisha wao hatuongelei maendeleo ya Kenya na Tanzania. Mkuu kwa maana hiyo unataka kusema ni sahihi tu watufanyie wanavyotaka simply kwasababu wametuzidi kiuchumi?
 
I am sorry maana nimeoverlook, but all in all kama sie tunautumia mlima K'njaro kwenye kutangazia pombe tu za kilimanjaro wakati tungetengeneza kahawa kama wanavofanya waKenya mi sioni shida acga tu wautumie kwa kuwa sisi tumelala.Hivi katika ziara zote wanazafanya wakubwa from your heart ipo kweli hata siku ambayo walienda hata na jani la katani kuonyesha kuwa na sie tunalima katanai.Wanaondoka na misafara kibao lakini hakuna wanachokwenda kukifanya zaidi ya blabla
 
Tatizo ni sisi wananchi ambao hatutaki kuwawajibisha hawa viongozi wetu!Mimi huwa najiuliza kila siku mbona kila ninayeongea naye hapendezewi na mwenendo wa viongozi wetu lakini hatufanyi chochote kuonyesha reaction zetu kwao? Sijawahi kuona viongozi wabinafsi na wasio na huruma na wananchi wao kama hawa tulionao.
 
M

mr.kifather

Member
83
0
hiyo ni picha inayo onesha ni jinzsi gani tumelala fofofo wakati wenzetu wanaumiza kichwa kutangaza vya kwao hata kwa maliasili zisizo za kwao ............sisi hatuvitumii tulivyo navyo
 
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
6,213
2,000
nawakubali sana wakenya,utalii tu umewafikisha hapa walipo,je wangekuwa na madini na ardhi nzuri na nyingi kama yetu wangekuwa wapi,bravo kenya,pigeni tu hela za wazembe,wataamka baadae wakati machimbo yatakapobaki mahandaki na ardhi itakapokuwa unproductive
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
35,814
1,250
Kenya he he he he, wacha niende Mombasa kula bata,,,,,
 
T

Tabby

JF-Expert Member
10,373
2,000
Ni vigumu kuwazuia kwa kulalamika. Tutoe majina kwa vitu vyetu ya kutukuza Utanzania. Kilimanjaro International Univeristy; Serengeti International Airport - Tanzania; Ngorongoro Airline - Tz, Lake Nyasa Canners - TZ, Kilimanjaro International Expediators - TZ, namna nyingi nyingi tu. Wataona aibu kurudia. Ukiacha vacuum tu, kwa kitu kama kile, lazima jamaa wachukue nafasi!. La muhimu, ni sisi wa TZ - kuchangamkia tender.
 
B

Bahati Risiki

JF-Expert Member
530
0
Walishajua mwenye nchi ni kibembea, hivyo wanaitumia wanavyotaka. Kweli inaukma sana sana sana kuona hatuna hata kiongozi wa kuclaim raslimali zetu ila kuzigawa bure wakati hatuna hata shule ya maana kuwaelimisha watoto wetu.
 
Forum statistics

Threads
1,424,900

Messages
35,075,540

Members
538,137
Top Bottom