Simba na yanga na ccmwatanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao.
Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo anamiliki Mali za urithi, mara mwijaku anagombaniwa na madent wa wapi siju na unakuta watu wako busy kubishana mambo kama hayo!
Mara nyingi mada zote zinazohusu mageuzi ya kimaendeleo katika taifa huwezi kuona watu wakihangaika nayo, mathalani viwanda, mwl. Nyerere aliacha karibia kila mkoa una kiwanda but now days vimekufa vyote , na huwezi kuta watanzania wanakaa na kuhoji kama taifa mustakhabali wa viwanda hivyo, kwa nini vilikufa? Kwa nini visifufuliwe nk, badala yake , umbea kila mahali
Hili Taifa tusipobadilika tutafika mwisho wa safari tukiwa tumechoka sana bila wenyewe kujua kuwa tumechoka
Ukiona sasa maisha yalivyowachapawatanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao.
Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo anamiliki Mali za urithi, mara mwijaku anagombaniwa na madent wa wapi siju na unakuta watu wako busy kubishana mambo kama hayo!
Mara nyingi mada zote zinazohusu mageuzi ya kimaendeleo katika taifa huwezi kuona watu wakihangaika nayo, mathalani viwanda, mwl. Nyerere aliacha karibia kila mkoa una kiwanda but now days vimekufa vyote , na huwezi kuta watanzania wanakaa na kuhoji kama taifa mustakhabali wa viwanda hivyo, kwa nini vilikufa? Kwa nini visifufuliwe nk, badala yake , umbea kila mahali
Hili Taifa tusipobadilika tutafika mwisho wa safari tukiwa tumechoka sana bila wenyewe kujua kuwa tumechoka
It begins with YOU!!watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao.
Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo anamiliki Mali za urithi, mara mwijaku anagombaniwa na madent wa wapi siju na unakuta watu wako busy kubishana mambo kama hayo!
Mara nyingi mada zote zinazohusu mageuzi ya kimaendeleo katika taifa huwezi kuona watu wakihangaika nayo, mathalani viwanda, Mwl. Nyerere aliacha karibia kila mkoa una kiwanda but now days vimekufa vyote , na huwezi kuta watanzania wanakaa na kuhoji kama taifa mustakhabali wa viwanda hivyo, kwa nini vilikufa? Kwa nini visifufuliwe nk, badala yake , umbea kila mahali
Hili Taifa tusipobadilika tutafika mwisho wa safari tukiwa tumechoka sana bila wenyewe kujua kuwa tumechoka
maisha nagumu tufanye kazi.unadhani hata wakiingia chadema maisha yatakuwa mazuri!.hawana sera watafanya nini wakiingia ikulu zaidi ya kuikosoa ccm tu.Kazi yetu kulalamika mtandaoni kwamba maisha magumu
Kila kona ndiyo discussion, hatoni wivu China wanaendelea kila leo , technology yao inakua kwa kasi sana, sisi sasa tupotupo tu, imagine watu zaid ya million 60 hata kiwanda cha maaana hatuna , mkuu hatuna tofauti na wagalatiaSimba na yanga na ccm
Mimi nazungumzia kama taifa, kuna mahali tulistahili kuwa , but ukitanguliza uoga kuwa kuishauri serikali na kuiwajibisha ni kutaka kuwa kama Sudan zen una safari ndefu sana mkuuunataka tuwe kama sudan!!?
angalia maisha yako na familia yako.
Ni huyu hapa..Watanzania nani katuroga?
Mzee kazi zinafanyika tu, ishu ni mifumo yetu ya maisha iliowekwa na hao policy makers haimfavour mtu bali wao tu.maisha nagumu tufanye kazi.unadhani hata wakiingia chadema maisha yatakuwa mazuri!.hawana sera watafanya nini wakiingia ikulu zaidi ya kuikosoa ccm tu.