Watanzania nani katuroga?

Watanzania nani katuroga?

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,514
Reaction score
6,070
watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao.

Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo anamiliki Mali za urithi, mara mwijaku anagombaniwa na madent wa wapi siju na unakuta watu wako busy kubishana mambo kama hayo!

Mara nyingi mada zote zinazohusu mageuzi ya kimaendeleo katika taifa huwezi kuona watu wakihangaika nayo, mathalani viwanda, Mwl. Nyerere aliacha karibia kila mkoa una kiwanda but now days vimekufa vyote , na huwezi kuta watanzania wanakaa na kuhoji kama taifa mustakhabali wa viwanda hivyo, kwa nini vilikufa? Kwa nini visifufuliwe nk, badala yake , umbea kila mahali
Billions to tillions of money zinapotea, ufisadi kila mahali, lakini tunajikuta tunapuuza tu , puuuza mpaka dunia inatupuuza na yenyewe huku kipaumbele chetu ni simba na yanga , huku bifu la diamond na alikiba ndiyo vitu vinavyoongoza kujadilika, upuuzi mtupu kila mahali

Hili Taifa tusipobadilika tutafika mwisho wa safari tukiwa tumechoka sana bila wenyewe kujua kuwa tumechoka
 
watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao.

Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo anamiliki Mali za urithi, mara mwijaku anagombaniwa na madent wa wapi siju na unakuta watu wako busy kubishana mambo kama hayo!

Mara nyingi mada zote zinazohusu mageuzi ya kimaendeleo katika taifa huwezi kuona watu wakihangaika nayo, mathalani viwanda, mwl. Nyerere aliacha karibia kila mkoa una kiwanda but now days vimekufa vyote , na huwezi kuta watanzania wanakaa na kuhoji kama taifa mustakhabali wa viwanda hivyo, kwa nini vilikufa? Kwa nini visifufuliwe nk, badala yake , umbea kila mahali

Simba na yanga na ccm
 
Ukiona sasa maisha yalivyowachapa
 
Waangalie wanaoshabikia simba, Yanga, ccm, chadema, manabii, wengi wao wana matatizo ya akili, na hizo taasisi zinafahamu hayo nao wanaenda nao sambamba
 
unataka tuwe kama sudan!!?
angalia maisha yako na familia yako.
 
watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao.

Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo anamiliki Mali za urithi, mara mwijaku anagombaniwa na madent wa wapi siju na unakuta watu wako busy kubishana mambo kama hayo!

Mara nyingi mada zote zinazohusu mageuzi ya kimaendeleo katika taifa huwezi kuona watu wakihangaika nayo, mathalani viwanda, Mwl. Nyerere aliacha karibia kila mkoa una kiwanda but now days vimekufa vyote , na huwezi kuta watanzania wanakaa na kuhoji kama taifa mustakhabali wa viwanda hivyo, kwa nini vilikufa? Kwa nini visifufuliwe nk, badala yake , umbea kila mahali

Hili Taifa tusipobadilika tutafika mwisho wa safari tukiwa tumechoka sana bila wenyewe kujua kuwa tumechoka
It begins with YOU!!
 
Kazi yetu kulalamika mtandaoni kwamba maisha magumu
maisha nagumu tufanye kazi.unadhani hata wakiingia chadema maisha yatakuwa mazuri!.hawana sera watafanya nini wakiingia ikulu zaidi ya kuikosoa ccm tu.
 
Simba na yanga na ccm
Kila kona ndiyo discussion, hatoni wivu China wanaendelea kila leo , technology yao inakua kwa kasi sana, sisi sasa tupotupo tu, imagine watu zaid ya million 60 hata kiwanda cha maaana hatuna , mkuu hatuna tofauti na wagalatia
 
unataka tuwe kama sudan!!?
angalia maisha yako na familia yako.
Mimi nazungumzia kama taifa, kuna mahali tulistahili kuwa , but ukitanguliza uoga kuwa kuishauri serikali na kuiwajibisha ni kutaka kuwa kama Sudan zen una safari ndefu sana mkuu
 
Rais mwenyewe mwanamke, unategemea nini zaidi ya umbea????!!!
 
maisha nagumu tufanye kazi.unadhani hata wakiingia chadema maisha yatakuwa mazuri!.hawana sera watafanya nini wakiingia ikulu zaidi ya kuikosoa ccm tu.
Mzee kazi zinafanyika tu, ishu ni mifumo yetu ya maisha iliowekwa na hao policy makers haimfavour mtu bali wao tu.

Yaani ww unaeamka saa11 asbuhi kwenda kujenga taifa/hustle mpaka jioni humshindi chawa (asie na kazi ya maana) anaesifia kiongozi kwa dk kadhaa tu kwa mafanikio.

Ni kweli hata hao chadema wakipata madaraka, kama mfumo wetu wa maisha utakua huuhuu basi hamna jipya tutakua tumefanya hapo.
 
Back
Top Bottom