Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Hatua zinazoeleweka ni kuiondoa serikali ya chama cha magamba madarakani, Vinginevyo tutaendelea kulalamika siku zote.Mbona hata wewe unaonekana kulalamikalalamika tu na UMESAHAU kuchukua hatua zinazoeleweka.
.......wanaosema tumechukua hatua gani nadhani na wao wamesahau kwamba mfumo uliopo hautoi nafasi kwa any actions
au na hilo tumesahau??
Nadhani hatujasahau hata moja, kuna mengine wewe ndiye umesahau kwani hayaonekani kwenye list. Lakini, kama wewe ni mtanzania basi unawakilisha maelfu kwa maelfu ya watanzania wanaoyakumbuka uliyoorodhesha.
Usitarajie UPINZANI ukusaidie, au eti serikali iamke na kuyakumbuka, timiza wajibu wako, achana na mikwara ya Jairo ati ukitoa siri utakiona cha mtema kuni....
Mbona hata wewe unaonekana kulalamikalalamika tu na UMESAHAU kuchukua hatua zinazoeleweka.
Kuthubutu kuiondoa CCM madarakani ni kujichimbia kaburi lako mwenyewe. Hao wapinzani wa kuirithi CCM wako wapi?Hatua zinazoeleweka ni kuiondoa serikali ya chama cha magamba madarakani, Vinginevyo tutaendelea kulalamika siku zote.
Tanzania ni ya watanzania, hivyo tukiwaachia wengine ndio wailinde Tanzania ilhali tunawaona wakiihujumu tutakuwa hatuitendei haki nchi yetu. Ni wajibu wa kila mmoja kwa nafasi yake kuhakikisha analisaidia taifa lake kwa namna anayoweza kulisaidia kuepukana na janga lolote.mkuu kama unasema usititarajie upinzani ukusaidie wala serikali umetoa wazo zuri,naomba ueleze zaidi hapo kwenye red

Tuna Imani na Jairo oya oya oya Yeleleeeeeee Baba baba baba, Baba huyo baba baba baba huyoo baba baba huyooo Libaba Hilo. Sijui nani ameturoga Walah

tena issue ya wanyama kutoroshwa kama sikoei mleta mada kwanza ni mwanasheria a pili imetokea ukanda amabao anahusika nao kikazi kwa namna mojaau nyingine na tatu kamasikosei ana madaraka kisiasa Diwani yanayoweza kufanya asikike na kusikilizwa

. Au na yeye kasahau kuw anataiwa kuhakikisha sheria zinafuatwa ?

Watanzania ndio sisi bana inadidi tuanze kuexport wanasiasa. kwa nchi nyingine za afrika ili ziwe na amani na umoja teh teh teh teh

<br / afadhali kuongozwa na jeshi kuliko ccmKuthubutu kuiondoa CCM madarakani ni kujichimbia kaburi lako mwenyewe. Hao wapinzani wa kuirithi CCM wako wapi?

<br / afadhali kuongozwa na jeshi kuliko ccm
Kuthubutu kuiondoa CCM madarakani ni kujichimbia kaburi lako mwenyewe. Hao wapinzani wa kuirithi CCM wako wapi?