Watanzania na nidhamu ya uoga.tunasema sana vitendo hakuna!!!

Mkuu,
Jina ulilochagua poa tu. kwa kweli watanzania karibu wote ni Slave(s) wa CCM. Kule amerika kulikuwa na house slaves na farm slaves. Farm slaves walifika mahali waka-rebel. sasa sisi pia tuko katika hayo makundi mawili. Hili moja iko siku,kwa mwenendo wa ufisadi na ugumu wa maisha basi kuna dalili kuwa woga unaanza kupungua.
 
Mkuu zanzibar walikufa watu 23 kwa mambo kama haya, je huo ndio ujasiri unaoutaka tuwe nao?

bro paulss zanzibar walikufa zaidi ya watu 23. Yaani hao 23 ni wale tuliotangaziwa na vyombo vya habari.lakini pamoja na hayo leo hii kuna unafuu flani uliopatikana kutokana damu yao 1 serikali xa mseto pia ninaimani kuna mengine mengi tu.mkuu naomba ujikumbushie historia ya mkombozi yesu alivyo kufa kwa ajili yetu.na ulinganishe na ukristo ulivyo imara leo. Mwanasiasa bob marley alivyo chomwa sindano ya sumu mpaka kupelea umauti wake kwa ajili ya wa south.angali akina mkwawa,mirambo,mangi,na wengine kibao.angalia vita vya kagera watu walivyopoteza maisha kwa ajili ya nchi yao.vipi unaonaje jinsi watu walivyokuwa na jinsi gani wameleta unafuu.MKUBWA SONGA NAO MADA......
 
Mkuu kinacho niudhi ni kuwa hizi nchi zetu za kiafrika nikama hawa wanasiasa wanatutumia sisi kupata watakacho na si kutukomboa katika lindi la umasikini tulio nao.
Kenya na zimbabwe watu walikufa na ikaishia jamaa kupewa upm nasasa wametulia tuliii wanakulanao sahani moja while wananchi wao matatizo yapo pale pale.
the same applied to znz maalim seif saa hizi si mwenzetu anakula nao sahani moja na hakuna kitakacho badilika, ni umasikinitu.
 
Huyo mtoto Amani unayemuongelea ni yupi kwa watanzania waliojaa umaskini ndani ya nchi iliyojaa utajiri na kuliwa na wachache?

Mkuu congo drc wanao huo utajiri na lindi la umasikini kama sisi, kibaya zaidi kwao hawana hata huyo mtoto amani na iliwabidi kukimbilia kwetu kumfuata huyo mtoto amani angalau maisha yaendelee.
Mkuu sipingi ujasiri ila najaribu kufikiria njia nyingine, na ikibidi itabidi iwe hivyo
 
Mkuu,
Jina ulilochagua poa tu. kwa kweli watanzania karibu wote ni Slave(s) wa CCM. Kule amerika kulikuwa na house slaves na farm slaves. Farm slaves walifika mahali waka-rebel. sasa sisi pia tuko katika hayo makundi mawili. Hili moja iko siku,kwa mwenendo wa ufisadi na ugumu wa maisha basi kuna dalili kuwa woga unaanza kupungua.

kweli kabisa mkuu.unajua nyau ni mpole sana siku zote anaishi na binadamu kwa nidhamu.lakini siku akikasirika huwa hapatoshi.
 
Mkuu kinacho niudhi ni kuwa hizi nchi zetu za kiafrika nikama hawa wanasiasa wanatutumia sisi kupata watakacho na si kutukomboa katika lindi la umasikini tulio nao.
Kenya na zimbabwe watu walikufa na ikaishia jamaa kupewa upm nasasa wametulia tuliii wanakulanao sahani moja while wananchi wao matatizo yapo pale pale.
the same applied to znz maalim seif saa hizi si mwenzetu anakula nao sahani moja na hakuna kitakacho badilika, ni umasikinitu.

unajua nini kaka.? Huo ndio ugaidi wa serikali.inatumia ujasusi wake kumshawishi mtu kwa pesa na vitisho kwamba usipo kubari pesa tutakufanyia kitu mbaya na pesa haupati.hapo hapo wanakupigia mifano muone slave tulivyomfanya au muone paulss alivyo kuwa mbabe,mkorofi,mpenda haki,lakini leo yupo wapi?au na wewe unataka ufanyiwe hivyo? Haya chagua unakula na sisi au unataka ukaozee gerezani? Mh..!wakifika hapo tu unachoka mwenyewe.
 
Kaka naunga mkono hoja yako 100 %
icon14.png
wengi wetu tumekuwa watu wa kulaumu na kuongea majungu chini chini bila vitendo...Watanzania wananung'unikia midomoni tu, wanaibiwa rasilimali zao, bei za bidhaa zinaongezeka kila kukicha pasipo maelezo ya kina, leo kodi ya umeme imepanda, tumeambiwa tulipe Dowans tumeanza kulipa, tunadanganywa waziwazi kwa ahadi za uongo zisizotekelezeka, yote haya na mengineyo hayana maelezo ya kina lakini Watanzania tumeishia kuzungumza chini chini.

Kuhusu NINI KIFANYIKE mkuu nadhani Watanzania hawako tayari kukombolewa ndio maana leo hii wanatii kama kondoo kila jambo wanaloambiwa au kufanyiwa, na wewe ukipata nafasi itumie, 'KULA' kwa urefu wa kamba yako hii ni nchi ya asali na maziwa watu kutoka nje wanaitafuna nchi hii kitakatifu nasi tunawakarimu na kuwakaribisha tena na tena (rejea makampuni ya kigeni)wazawa tunawapongeza kwa kuiuza nchi na kuwachagua tena na tena kushika nafasi kutuongoza. Kaka ukipata nafasi 'ITAFUNE' nchi hii ni tamu huku ukitupaka mafuta Wadanganyika kwa mgongo wa chupa...
Nawasilisha.

hapo napo papo.ndio maana bwana paulss amesema ukifiria sana mwisho wa safari yako unaangukia bar na kuanza kuminya tusker bariiidi!
 
Mkuu Slave,
au.... Slave mkuu!!???

Iko siku tutajifunza kutoka kwa wenzetu.

[video]http://www.bbc.co.uk/news/world-latin-america-12097189[/video]
 
Mkuu,
Jina ulilochagua poa tu. kwa kweli watanzania karibu wote ni Slave(s) wa CCM. Kule amerika kulikuwa na house slaves na farm slaves. Farm slaves walifika mahali waka-rebel. sasa sisi pia tuko katika hayo makundi mawili. Hili moja iko siku,kwa mwenendo wa ufisadi na ugumu wa maisha basi kuna dalili kuwa woga unaanza kupungua.

nikweli mzazi.mimi najua hivi sasa hata baadhi ya wanachama wa ccm wameanza kuuona ukweli.
 
Back
Top Bottom