Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,506
- 2,900
Mtanzania ukimuona analia na kughalaghala popote pale ujue anaiwinda fursa 😂😂😂
Yani mtu anaililia Iran kuliko ata ubalozi wake nchini Tanzania
Yani mtu anaililia Iran kuliko ata ubalozi wake nchini Tanzania