Elections 2010 Watanzania, Mungu awape nini?

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Huyu Mtu akiingia madarakani

1: Elimu bure mpaka form Six, Wengine wamesema hawawezi
2: Katiba mpya ndani ya siku 100
3: Mafisadi kukiona cha mtema kuni, maana alipokuwa Mbunge tu aliwatetemesha je akipewa Nchi?
4: Ataunda baraza dogo la Mawaziri kama Njia mojawapo za nyingi alizonazo za kupunguza Bajeti ya kuhudumia Serikali
5: Misharahara ya Wabubge kupunguzwa
6: Kodi za vifaa vya Ujenzi kupunguzwa ili Kila mtu ajenge nyumba za Kisasa

Sasa Watanzania wanataka nini jamani kutoka kwa Mungu?
 
Hata mimi nastaajabu watu kama hawa ikiwafika nakama wakimtaka Mungu msaada anawaengezea nakama zaidi...!
 
Mkuu umenena ila mie nasema Watanzania tunanunuliwa kwa chumvi na khanga tu na kuuza nchi yetu kwa mafisadi,ngoja tena wampe huyu MKWARE akware nchi yetu miaka 5 tukiacha dhahabu SLAA ikiliwa na mchwa...MUNGU ATUPE GUNIA LA CHAWA labda tutaaamka mzee maana neema tunaiachia.
 
Huyu Mtu akiingia madarakani

1: Elimu bure mpaka form Six, Wengine wamesema hawawezi
2: Katiba mpya ndani ya siku 100
3: Mafisadi kukiona cha mtema kuni, maana alipokuwa Mbunge tu aliwatetemesha je akipewa Nchi?
4: Ataunda baraza dogo la Mawaziri kama Njia mojawapo za nyingi alizonazo za kupunguza Bajeti ya kuhudumia Serikali
5: Misharahara ya Wabubge kupunguzwa
6: Kodi za vifaa vya Ujenzi kupunguzwa ili Kila mtu ajenge nyumba za Kisasa

Sasa Watanzania wanataka nini jamani kutoka kwa Mungu?

Atupe GHALA LA KUNGUNI WATUNGATE labda tutajua maana ya huyu Dr.Slaa.
 
Hizo ni ahadi za kuingia ikulu tu, hatakapo ingia huko ndio mtajua kama hiyo katiba itabadilishwa ndani ya siku 100 au la. Mimi kinacho nifanya ni m-support Dr.Slaa ni kwa sababu nataka mabadiliko ya uongozi ...
 
Back
Top Bottom