Sasa dunia hii ina vichaa wangapi wanaotaka kufanya ukichaa wao wenyewe?Kiranga jamani
Ataelewa..Hahahaha
Kijana wetu amerudi na ka ego na vijidharau kidogo.
Ila tutamuweka sawa
Jibu wapi nimepotoka, hilo kwanza.Braza umepotoka sana
Yaan umepata ka stereotype flan si kazuri
Nasubili ajibu hili swali " Naamini zaidi ya exposure hakuna cha ziada mkuu....Watu ambao huwa mnaponda watanzania mnakuwaga mmefanikiwa nini kuzidi hao watanzania mnao waponda?
Atleast, Chief. I like u.Hapo kwenye bold .... usilaumu bali tafuta chanzo cha tatizo ...
Mfumo wa maisha ya watanzania ulivurugwa tangu awali na unaendelea kuvurugwa tu ...
Siasa ya kujitegemea ... ni mfumo gani tena huo ulimwenguni
Ruksa ... ilitusaidia nini?
Ubinafsishaji ... ilikuwa kama kuuza mali za nchi kwa bei ya kutupa ...
Maisha bora kwa kila mtanzania... yalikuwa wapi?
Sasa viwanda .... viko wapi?
Hatuko well organized na hii ni sera ya chama tawala ili kiendelee kuwa madarakani.
Watu hawajitambui kabisa! Ila safari hii tutawabadilisha tu.
Truth....Hiyo kasumba tunayo wabongo tuu dunia nzima mtu akisha panda ndege na kuongea ongea inglish basi ana dismiss wengine wote as failures.
Utaskia watanzania hawaajiriki sjui hawafanyi nini khaa!
Ni roho mbaya tu znakuwaga
Nafkiri wengi tumemuelewa tofauti mleta mada, mm kwa kiasi fulani nakubaliana na hoja yake yupo sahh kabisa,Wewe mwènyewe ni mzigo. Umeishia kulalamika bila kuonyesha way forward kwamba nini kifanyike.
hahahaAachane na sisi. Haya ndio maisha yetu. [emoji2][emoji2][emoji2]
Kua mvumilivu Boss, u will see.Okay. Hebu tuambie kikubwa cha maendeleo ambacho umewahi kuifanyia nchi hii ambacho unaona wengi wetu tumeshindwa kukifanya
hahaha braza acha kumshambulia basi...mpe nafasi afafanue anachomaanisha huenda tutapata kitu zaidi....Braza umepotoka sana
Yaan umepata ka stereotype flan si kazuri
Nilidhani labda kuna mambo makubwa umefanya ndio maana unatushangaa wenzako.Kua mvumilivu Boss, u will see.
ni kweli ila ktk hii dunia tunategemeana sana kwa namna moja au nyingine...keep that in mind chiefWaswahili wanasema fata mambo yako.. Yasiyokuhusu wala usiwe na time nayo, waachie wenye nayo wa deal nayo
Hahahahahaha braza acha kumshambulia basi...mpe nafasi afafanue anachomaanisha huenda tutapata kitu zaidi....
[emoji122][emoji122][emoji122]Hapo kwenye bold .... usilaumu bali tafuta chanzo cha tatizo ...
Mfumo wa maisha ya watanzania ulivurugwa tangu awali na unaendelea kuvurugwa tu ...
Siasa ya kujitegemea ... ni mfumo gani tena huo ulimwenguni
Ruksa ... ilitusaidia nini?
Ubinafsishaji ... ilikuwa kama kuuza mali za nchi kwa bei ya kutupa ...
Maisha bora kwa kila mtanzania... yalikuwa wapi?
Sasa viwanda .... viko wapi?
Hatuko well organized na hii ni sera ya chama tawala ili kiendelee kuwa madarakani.
Watu hawajitambui kabisa! Ila safari hii tutawabadilisha tu.
hahaha braza braza...And we are proud!
Ahamie Naijeria basi
Ni kweli mkuu ila kuna nyanja na nyanja ambazo hatutakiwi kuingiliana.ni kweli ila ktk hii dunia tunategemeana sana kwa namna moja au nyingine...keep that in mind chief
Kweli kaka najua wewe unahisi umemuelewa ila haeleweki bali ana rant tuuhahaha braza braza...
AiseeeeHiyo kasumba tunayo wabongo tuu dunia nzima mtu akisha panda ndege na kuongea ongea inglish basi ana dismiss wengine wote as failures.
Utaskia watanzania hawaajiriki sjui hawafanyi nini khaa!
Ni roho mbaya tu znakuwaga