Watanzania mliopo South Africa na Marekani

Watanzania mliopo South Africa na Marekani

Kuna mashirika kutoka Sweden,canada. Yamekuja Tanzania kutoa fursa. Ili watu waweze kukamilisha ndoto zao. Na watu wanafanikiwa t kutokana na ndoto zao. Mm Nimejiunga na Oriflame ndo kwanza mwenzi wa kwanza toka nijiunge. Ila Pesa nayopata nikiuza product moja. Ni nzury t. Na raha Raha ya haya mashirika yanakulipa mwisho wa mwenzi. Kama unataka maelezo zaidi Nipigie kwa 0787327501 tukufahamishe jinsi ya kutafuta njia za mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuwa maisha ni popote pale. ww kama mtanzania una fursa nyingi t za kutoka kimaisha kuliko huyo aliyekuwa marekani.Tanzania tuna ardhi nzury kwa kilimo. Tuna maeneo mazury kwa ufugaji. Kwa nn unaharakia kwenda kufanya kazi zisizo na maana America wakati Kazi za kufanya Tanzania zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe bwana mbona imekuuma yeye kusema anataka kwenda marekani? nani kakudanganya marekani kuna maisha mabovu na tanzania kuna maisha mazuri? mbona unaleta komedi hapa
 
wote mnataka kwenda URAYA , tanzania nayo ni nchi! mnataka mmuache nani??
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mambo mazuri yapo mbele kwa mbele "DJ Yusuf
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mbona povu mkuu hebu soma ulichokiandika na uelewe shida yangu ni kuondoka hapa tz.
 
Unajuwa maisha ni popote pale. ww kama mtanzania una fursa nyingi t za kutoka kimaisha kuliko huyo aliyekuwa marekani.Tanzania tuna ardhi nzury kwa kilimo. Tuna maeneo mazury kwa ufugaji. Kwa nn unaharakia kwenda kufanya kazi zisizo na maana America wakati Kazi za kufanya Tanzania zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kusema Tanzania ni kuzuri kuliko Marekani?
 
Njoo Nairobi ukifka mathare niambie

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
mwacheni akajaribu bahati yake kama nyie mnaona kugumu rudini nyumbani mje kuosha ivyo vyoo na kubeba ayo mabox au mlime
watanzania ni watu wa ajabu sana mbona watu wa west Africa hawanaga mentality hizi zakukatishana tamaa mnajidai virgin land uku mnakufa maskini
 
Kuna mashirika kutoka Sweden,canada. Yamekuja Tanzania kutoa fursa. Ili watu waweze kukamilisha ndoto zao. Na watu wanafanikiwa t kutokana na ndoto zao. Mm Nimejiunga na Oriflame ndo kwanza mwenzi wa kwanza toka nijiunge. Ila Pesa nayopata nikiuza product moja. Ni nzury t. Na raha Raha ya haya mashirika yanakulipa mwisho wa mwenzi. Kama unataka maelezo zaidi Nipigie kwa 0787327501 tukufahamishe jinsi ya kutafuta njia za mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ipoje mkuu
 
hapa ndio unagundua ubinafsi na uchoyo wa watanzania,jamaa hajaomba kufikia kwao anataka muongozo tu,bado wanaona wivu kumsaidia

Yaani inasikitisha, nilikuwa sijausoma uzi huu tena nahisi ningeandikaa weeeeee.
 
Back
Top Bottom