Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,880
- 47,559
Mzee yupi Mwalimu Julius Nyerere unasema mjinga daah basi una shida sehemu sio bure aisee..Mnateteaga ujinga wa huyo mzee!
We unafikiri kiwanda hufa ghafla kama mbu kapuliziwa rungu?..hivyo vilikuwepo na watu walitembea ucchi nguo hakuna,mahitaji muhimu hayakuwepoMzee yupi Mwalimu Julius Nyerere unasema mjinga daah basi una shida sehemu sio bure aisee..
Nyerere...
Kaacha Tazara..
Mgodi wa kiwira ukiwa vizuri
Viwanda vya nguo..
General tire wahuni wamepeleka mitambo Kenya hapo Yana..
Madini alisema tuyaache hayaozi wakisoma watakuja kuchimba wenyewe sasa hivi yanagawiwa bure hakuna hata faida ya kuwa na madini..
Alitengeneza mazingira ya watu kutokubaguana kwa udini wao au makabila yao wengi walitumia Kiswahili kwa kiwango kikubwa alifauru..
Kwa kipindi hicho kama alifanya haya na kuyasimamia nampa pomgezi sana..
Warudi kujenga taifa
Unaongea uwongo bhana miaka gani watu wametembea uchi aisee Nyerere alikua anawagawia uniform za shule madaftari bure kabisa hawa viongozi wengi wamesoma bure mpaka Elimu ya Juu wengine hadi Nchi za Nje huko sema ule ulikua mfumo unataka yale mambo ya socialism au nusu Capitalism ndio maana Babu alisema siasa yake hafungamani na Nchi yeyote bila Babu hapa pasingekalika kwa jinsi watu walivyo majambazi ya mali za Umma na ubinafsi..We unafikiri kiwanda hufa ghafla kama mbu kapuliziwa rungu?..hivyo vilikuwepo na watu walitembea ucchi nguo hakuna,mahitaji muhimu hayakuwepo
Hakuna mtu asiye na ujinga,na ujamaa ulikua ujinga
Hapa jamaa ndo kavaa hijab😁😁Hijab ni kwenu mliosilim. Waislam wenyewe og hawavai hijab. Hapa chini kuna picha ya Mfalme wa Jordan ambaye ana nasaba ya damu na mtume. Mkewe havai hijab
View attachment 3600399
View attachment 3600400
Unamuona Mohamed Bin Salman ambaye ni mwana mfalme wa Saudi Arabia. Umeiona hijab ya mkewe😂😂
Makanisa 2,000 ya Gwajima yako wapi? Nyie watu kuweni serious. Niko hapa Dar, kanisa la Ufufuo na Uzima lipo Kimara Kibo. Nitajie hayo mengine yalipo.Unajua idadi ya makanisa yake yaliyofungiwa? Ni zaidi ya makanisa elfu mbili..
View: https://youtube.com/shorts/zFoRxoPoDb8?is=Dq7vkueQjXcwpry-
Wewe kinachokuweka kwa Samia Mhalifu kinajulikana wazi.Wanatafuta tu njia ya kujipatia chochote baada ya kuchoka kuosha viibibi vizee kwenye nursing houses. Na huyo Ted Cruz ni kiazi ambaye anadanganywa kuwa kuna unyanyasaji wa Wakristu Tanzania, kisa yule TAPELI Gwajima kafungiwa kanisa. Pumbavu zao
Kusini huko wametembea uchu nguo hakuna hela wanazo,waziri alipoenda akina mama wakamlaki matiti wazi akina baba wameshona magunia kuwa nguoUnaongea uwongo bhana miaka gani watu wametembea uchi aisee Nyerere alikua anawagawia uniform za shule madaftari bure kabisa hawa viongozi wengi wamesoma bure mpaka Elimu ya Juu wengine hadi Nchi za Nje huko sema ule ulikua mfumo unataka yale mambo ya socialism au nusu Capitalism ndio maana Babu alisema siasa yake hafungamani na Nchi yeyote bila Babu hapa pasingekalika kwa jinsi watu walivyo majambazi ya mali za Umma na ubinafsi..
Mimi sikubaliani na sera zake zote ila nilitegemea wanapobadilishana vijiti atatokea mtu kidogo afadhali ili Nchi iende ila ndio hakuna kitu kinafanyika ni kama watu wamedumaa tu na wamepoteza Uzalendo wa kujali rasilimali za Nchi kwa ajili ya vizazi vijavyo..Kusini huko wametembea uchu nguo hakuna hela wanazo,waziri alipoenda akina mama wakamlaki matiti wazi akina baba wameshona magunia kuwa nguo
Hivyo viwanda vilikuwepo lakini bidhaa zilizozalishwa zilikua adimu mitaani, vilikua vikizalisha nini!?
Na wewe ni nini kinachokuweka kwa Tundu na Heche?Wewe kinachokuweka kwa Samia Mhalifu kinajulikana wazi.
Huyu kama kina tlaahtlaah na Lukas mwashambwa!Mzee yupi Mwalimu Julius Nyerere unasema mjinga daah basi una shida sehemu sio bure aisee..
Nyerere...
Kaacha Tazara..
Mgodi wa kiwira ukiwa vizuri
Viwanda vya nguo..
General tire wahuni wamepeleka mitambo Kenya hapo Yana..
Madini alisema tuyaache hayaozi wakisoma watakuja kuchimba wenyewe sasa hivi yanagawiwa bure hakuna hata faida ya kuwa na madini..
Alitengeneza mazingira ya watu kutokubaguana kwa udini wao au makabila yao wengi walitumia Kiswahili kwa kiwango kikubwa alifauru..
Kwa kipindi hicho kama alifanya haya na kuyasimamia nampa pomgezi sana..
Siyo kweli,watanzania wa 1990s hawakuweza kumiliki radio cassette, television au vyombo vya moto,leo kila nyumba ina chombo cha moto, television,simu,makazi Bora yameongezeka,barabara Zina lami, maendeleo yapo,nchi imefunguka tofauti na huyo mzee wa ujamaaMimi sikubaliani na sera zake zote ila nilitegemea wanapobadilishana vijiti atatokea mtu kidogo afadhali ili Nchi iende ila ndio hakuna kitu kinafanyika ni kama watu wamedumaa tu na wamepoteza Uzalendo wa kujali rasilimali za Nchi kwa ajili ya vizazi vijavyo..
Hata kama hawakumilika,sio hii ya Sasa, Wachache ndio wanafaidi keki Tena Kwa uwizi!Siyo kweli,watanzania wa 1990s hawakuweza kumiliki radio cassette, television au vyombo vya moto,leo kila nyumba ina chombo cha moto, television,simu,makazi Bora yameongezeka,barabara Zina lami, maendeleo yapo,nchi imefunguka tofauti na huyo mzee wa ujamaa
Sasa hivi kufaulu la Saba siyo issue elimu ya sekondari ni ya lazima
Sasa ulitaka hivyo vitu viwepo miaka ya 90 kila nyumba kuna gari Nchi gani hiyo aisee daah wabongo kwa uongo...Siyo kweli,watanzania wa 1990s hawakuweza kumiliki radio cassette, television au vyombo vya moto,leo kila nyumba ina chombo cha moto, television,simu,makazi Bora yameongezeka,barabara Zina lami, maendeleo yapo,nchi imefunguka tofauti na huyo mzee wa ujamaa
Sasa hivi kufaulu la Saba siyo issue elimu ya sekondari ni ya lazima
Ni Tanzania.Na wewe ni nini kinachokuweka kwa Tundu na Heche?
Na wewe ni nini kinachokuweka kwa Tundu na Heche?Wewe kinachokuweka kwa Samia Mhalifu kinajulikana wazi.
Chombo cha moto siyo gari tu,hata pikipiki ni chombo cha moto,1990s vyombo vya moto vilikua vya serikali,wa Asia au kanisa, wabongo wengi walikua wakitembea kwa miguu, hawana hata baiskeli,ndiyo maana hapakua na vibonge wala vitambiSasa ulitaka hivyo vitu viwepo miaka ya 90 kila nyumba kuna gari Nchi gani hiyo aisee daah wabongo kwa uongo...
Vibonge na vitambi ni kwa sababu ya GMO food sio hizo mambo ya kutembea kwa miguu wala nini Nchi za kibepari si tunao majirani zetu wa Kenya pale tunaona wanavyosota asilimia kubwa ya ardhi ni ya watu wachache sana maisha yapo juu na kupata hiyo hela ya kuendesha life sio mchezo..Chombo cha moto siyo gari tu,hata pikipiki ni chombo cha moto,1990s vyombo vya moto vilikua vya serikali,wa Asia au kanisa, wabongo wengi walikua wakitembea kwa miguu, hawana hata baiskeli,ndiyo maana hapakua na vibonge wala vitambi