Muulize Matajiri wakubwa wote wa Tanzania ni waupande gani?Ndo unavyodanganywa uko kanisani? Maendeleo makubwa yote yapo mikoa ya Pwani Yan dar es salaam, Zanzibar, Tanga Pwani
Embu tujitenge tuone mtafanya Nini? Au nanyinyi hapo uyole mnajiona wazungu kisa ni wakristo?
Hii slogan imetuachia Madhara makubwa Sana japo ilitimiaNo reform, no election.
Je Gwajima hakufungiwa?Wanatafuta tu njia ya kujipatia chochote baada ya kuchoka kuosha viibibi vizee kwenye nursing houses. Na huyo Ted Cruz ni kiazi ambaye anadanganywa kuwa kuna unyanyasaji wa Wakristu Tanzania, kisa yule TAPELI Gwajima kafungiwa kanisa. Pumbavu zao
Acha sisi tutizame
HahahaTulitakiwa tusifike huku lakini kuna upande wanaona Tanzania ni yao, ingawa athari kwa wote ila kama mbwai mbwai tu, mwaga mchuzi mwaga mboga
HahahHahaha
Sasa kufungwa kwa kanisa la Gwajima ndiyo useme Wakristu wanakandamizwa?Je Gwajima hakufungiwa?
Mbona dada wa Taifa Mange Kimambi ni kobaz mwenzetu??Hawa jamaa wametumwa na kanisa tu kuvuruga utulivu
Mpenda HAKI hawezi kukutana na ujumbe wa wafiraji, wauaji wa halaiki, WahuniTed Cruz ana dharau Sana alishindwa kukutana na ujumbe wa Nchi anakuja kukutana na wahuni tu wadhurulaji?
Unajua idadi ya makanisa yake yaliyofungiwa? Ni zaidi ya makanisa elfu mbili..Sasa kufungwa kwa kanisa la Gwajima ndiyo useme Wakristu wanakandamizwa?
DuuhMpenda HAKI hawezi kukutana na ujumbe wa wafiraji, wauaji wa halaiki, Wahuni
Hayo maeneo uliyoyataja maendeleo yameletwa na wageni (Waarabu, Wareno na Wakoloni wazungu). Kwani baada ya Mkoloni kuondoka pale Tanga wenyeji Waislamu mmefanya maendeleo gani?Ndo unavyodanganywa uko kanisani? Maendeleo makubwa yote yapo mikoa ya Pwani Yan dar es salaam, Zanzibar, Tanga Pwani
Embu tujitenge tuone mtafanya Nini? Au nanyinyi hapo uyole mnajiona wazungu kisa ni wakristo?
Hahaha hakuna walichofanyaHayo maeneo uliyoyataja maendeleo yameletwa na wageni (Waarabu, Wareno na Wakoloni wazungu). Kwani baada ya Mkoloni kuondoka pale Tanga wenyeji Waislamu mmefanya maendeleo gani?
Wafanyabiashara wakubwa Mbeya,Mwanza,Arusha pamoja na Mikoa yote ya Kanda hizi si kobaz,wafanyabiashara wazalendo kuanzia mbugani kwenye migodi na sekta zote kubwa zalishi si kobaz na hata hapo Dar es salaam wakinga wengi na waha si Kobaz I unapogeneralize unawaongelea wahindi na waarabu wa Dar?Kwan wazaramo ndo waislamu pekee?
Huna hoja kakojoe ukalele, makafiri weny pesa ni hawa walioajiriwa ambao wanavibiashara vya hapa na pale, sasa jiulize katka watanzania milion 60+ walioajiriwa hawafik asilimia 1 ya watu wote
Biashara kubwa zote ni kobaz
Kwa kipindi kile ilikua ndio mfumo unataka hivyo mkuu..Mtahama dar?..kuna mwenzenu alitawala robo karne,tukaishia viraka tupu makalioni
Mkuu usituchanganye Waislamu wote na Bakwata wanaouza ardhi waliyopewa bure wajenge msikiti wao wanauza kwa njaa zao tafadhali sana aisee..Mange naye katumwa na kanisa? Natamani hii nchi igawanywe mpewe yenu na manaswara wapewe yao tuwatenge kwa ukuta kama ule wa Israel vs Palestina, then baada ya miaka 5 tuangalie nani atakuwa anataka kuhamia kwa mwenzake.
Mbeya Kuna wafanyabiashara wakubwa au wachuuzi wakubwa? Arusha wanaomiliki bureau de change wakina nani? Hotel mbuga za wanyama? Kampuni za tours?Wafanyabiashara wakubwa Mbeya,Mwanza,Arusha pamoja na Mikoa yote ya Kanda hizi si kobaz,wafanyabiashara wazalendo kuanzia mbugani kwenye migodi na sekta zote kubwa zalishi si kobaz na hata hapo Dar es salaam wakinga wengi na waha si Kobaz I unapogeneralize unawaongelea wahindi na waarabu wa Dar?
Tanga utafananisha na wapi? Ukiondoa dar, Zanzibar,pwani,kidogo mwanza maana uko kuliko bak kote hal mbayaHayo maeneo uliyoyataja maendeleo yameletwa na wageni (Waarabu, Wareno na Wakoloni wazungu). Kwani baada ya Mkoloni kuondoka pale Tanga wenyeji Waislamu mmefanya maendeleo gani?
Mnateteaga ujinga wa huyo mzee!Kwa kipindi kile ilikua ndio mfumo unataka hivyo mkuu..