Kwahiyo wanavyorudi nyumban wanarud kama wageni??? Na ukikana uraia, kuna hatua gani zinazochukuliwa na serikali kwenye kum-exclude mtu huyo kweny mambo ya kitaifa!?Wengine wapo Jeshi la Uingereza, ila ukienda Ubalozini (Tanzania) kuonba ruhusa wanakukatalia.
Uraia wa Tanzania wanakua wameukana.
Je mahusiano yao na jeshi letu ni upi?? Wanavyorudi nchini wakiwa na mafunzo ya kijesh sio hatari??!Hao wako kazini kama watanzania wengine wanaofanya kazi huko.
Wanarudi likizo kama wageni wengine wa Kimataifa.Kwahiyo wanavyorudi nyumban wanarud kama wageni??? Na ukikana uraia, kuna hatua gani zinazochukuliwa na serikali kwenye kum-exclude mtu huyo kweny mambo ya kitaifa!?
Shukrani. Sasa mfano kijana anakitambulisho cha NIDA, then akaenda kukana uraia bila kunyang'anywa, si upo uwezekano wa kuendelea kutambulika kama raia? Au yule asiye na kitambulisho, akarud likizo na kuprocess kitambulisho cha NIDA upo uwezekano akatambulika bado raia wetu, nipo sawa???Wanarudi likizo kama wageni wengine wa Kimataifa.
Hapana. Nilitaka tu kufahamu maswala ya kiuraia wao tu.Mie nilijua unataka networks ningekuunganisha na mtu Ila sio ishu, hizo kazi nje wanachukua raia wa nchi masikini from Asia, central America and Africa
SAWA. Naomba ufafanuzi kwenye hoja hizoMimi tayari ni mwanajeshi mwenye cheo cha major.
Kwa sababu ya kutotambua uraia pacha, hivyo mtu huyo anapoteza haki zote za uraia wa Tanzania?Wanajulikana kwa jina la raia wa marekani mwenye asili ya Tanzania
Boss, Mm naomba hy connectionMie nilijua unataka networks ningekuunganisha na mtu Ila sio ishu, hizo kazi nje wanachukua raia wa nchi masikini from Asia, central America and Africa
Unarudisha passport ya TZ, unachukua ya MarekaniKwahiyo wanavyorudi nyumban wanarud kama wageni??? Na ukikana uraia, kuna hatua gani zinazochukuliwa na serikali kwenye kum-exclude mtu huyo kweny mambo ya kitaifa!?
OkUnarudisha passport ya TZ, unachukua ya Marekani
Mkuuu lete shavu HiloMie nilijua unataka networks ningekuunganisha na mtu Ila sio ishu, hizo kazi nje wanachukua raia wa nchi masikini from Asia, central America and Africa
Mkuu wasije wakakutoa chambo frontline kwenye hizi ishu simuamini kabisa mzunguBoss, Mm naomba hy connection
Ah fresh tuuMkuu wasije wakakutoa chambo frontline kwenye hizi ishu simuamini kabisa mzungu