Son of Peasant,
Ndio maana nikasema wapo waliondoka bila kuaga wakakosa nafasi ya kushauriwa. Sasa hivi wanaungana kuandamana kupongeza hotuba na maneno Amani yetu tunaipenda! Wengine wanakurupuka eti CDM wachawi wa upinzani. Afadhali nimeaga ndugu zangu mmenishauri wengine mmenionya, wengine mmenikumbusha, wengine mmenitia nguvu! Wao walikosa nafasi hii. Nabaki.
Thats what i thought before,na mimi nimekuwa victim wa kufuata upepo,niliposoma mara ya kwanza nilipata meaning,however baada ya kupitia posts nyingine,i got carried away with that "Group Think"Jmushi,
Soma tena kamanda. Angalia tena kwa nini sijasema naaga nini. Nitakuwepo mpaka wayamalize waliyoahidi. Watamaliza? Tuko pamoja kamanda.
Kwa kheri ya kuonana mkuu si bado tunagangamala wenye mioyo miepesi wanaondoka wanarudi tena kuchungulia.
Mungu akutangulie huko uendako.
Panya akitaka jina hujipitisha mbele za watu
Thats what i thought before,na mimi nimekuwa victim wa kufuata upepo,niliposoma mara ya kwanza nilipata meaning,however baada ya kupitia posts nyingine,i got carried away with that "Group Think"
Shukran kwa clarifications,its a very interesting topic.
Pamoja mkuu..watu wawewanasoma vizuri mabandikoGreat Thinker must first read between the lines.... sasa hii thread utawajua walio na wasio. Walio ni wachache!
Kimbunga,
Wenzetu wamejisalimisha. Wamefika huko wamepewa kazi za upishi na upagazi. Wengine ni matarishi. Wanaamini kwamba wako salama. Wanasahau kwamba vita haijaisha na tunaelekea kushinda. Wakijisalimisha kwetu sijui watakuwa nini?
Ngoja nifute machozi Kwanza!:A S-cry:
Kwa vile wana sura ya popo watarudi kujichanganya kundini. Kwa mtizamo finyu, wanaamini hatuwezi kutambua tofauti kati ya manyoya na vinyweleo !!!. ..... Si juzi tu nimewasikia tayari wamerudi tena majukwaani??? lengo ? Kutuaminisha kwamba bado wapo nasi..... kutusemea yale yanayotukera. Kumbe ?
Baada ya kuonja furaha za msimu , mioyo yao imebadilika na siyo waumini tena. No, ni waumini lakini wanachokiamini siyo kile tunachokiamini sisi !!! Kwa vile tabia yao ni kama ya popo, wapandapo majukwaani wanaamini tutaamini kwamba wanaamini tunachoamini: kumbe ? Wanahubiri wasichokiamini, na kuamini wasichohubiri !
Wana JF, tuweni macho !! Usiku bado ni mrefu, wekeni mafuta mengi kwenye taa zenu kwani mbwa mwitu ni wengi na watapenda kuendelea kujichanganya na kondoo wetu walio zizini !
Mapambano yanaendelea, We are here to stay !!!
Albert ndugu yangu
Usikimbie when the going gets tough...the tough gets going!
Shupaa kiume
well said kamanda.
Great Thinker must first read between the lines.... sasa hii thread utawajua walio na wasio. Walio ni wachache!
Sijakata tamaa kamanda, kama kuondoka kwangu mpaka watoto wamalize elimu ya MEM si tutakuwa tumemaliza vita? Hawa jamaa ni watu wa kumaliza MKUKUTA n MKURABITA leo? Tuko Pamoja.