Watanzania kuweni wakubwa akilini

Watanzania kuweni wakubwa akilini

Wewe na hizi bia nan anakunywa uyo pedeshe wako wa mchongo si amesema anakuja kulipa au 🤗🤗🤗
Kama ni kuhusu bills, tutakuja kuclear acha uoga.
Endelea kupiga vitu
 
Kama ni kuhusu bills, tutakuja kuclear acha uoga.
Endelea kupiga vitu
Hapo sasa nimeamini amna mbambamba ninyi haya naagiza fanta painepo sasaivi na kiepe
 
Kama ni kuhusu bills, tutakuja kuclear acha uoga.
Endelea kupiga vitu
Maana nilikuwa nawasiwasi nisije nikapelekwa jikoni nikapewa masugulia uku wana nibia wimbo mkuno wa nazi mkuno 😂 njooni
 
Kulalamika lalamika hata kwa vitu visivyo na maana ni dalili tosha za kuzeeka.
Wewe ase tuheshimiane mimi ni saa nane sio saa kumi wala kumi na moja
 
Mzee acha kushindana na ujana.
😂😂😂 na uzee wangu wotee uhu nilikuwa sijawai ona .x.x za albinism sasaiv ndio nimeona 😂😂 kumbe bado mimi kijana ngoja nisubili zingine
 
Back
Top Bottom