Watanzania kuweni wakubwa akilini

Watanzania kuweni wakubwa akilini

Vip!

Ujue mimi nawashangaa sana watanzania ambao mna kazi ya kucheka watu kuwa wamezeeka mara maji ya jioni ivi kuna mtu ambaye hata zeeka atabaki ivyo ivyo?

Kuna baadhi yaa watu maarufu huwa wanachekekwa kuwa wamezeeka swali mlitaka wasizekee? Mtu unashinda tandika mpaka jua lina zama una kaa una mcheka kajala mara aunt mbona amcheki wakina jb ambao mvi zimeenda kwa namna fulani mnawazalilisha kwa mambo ya kijinga wwe unaye wacheka hawa huko kwenu wote hamna mvi? Hakuna walio zeeka huko?
Wanachekwa kwa kuwa wanafanya mambo ya kijinga
 
Lazima niulize

Ujue ule msemo wa furaha ni kuwa na marafiki furaha ni kulewa na marafiki

Unakujaga kutimia pale unapo achiwa bill ya jd tatu si nitaenda kuosha meza
Kwani utashindwa kulipa JD 3?
Mbona unaonekana una hela za kutosha hadi zinamwagika
 
Back
Top Bottom